Hakuna tangazo ispokuwa jwtz wana utaratibu wao wa kuajiri after kuruta kumaliza kozi ya JKT
Sasa baada ya kundi la mwisho kumaliza kozi yao ya ajira (kuwa wanajeshi) kambi za kozi za ajira zikabaki wazi ambapo baadhi ya kambi wameshaanza kuripoti wakisubiri wengine
ALL IN ALL HUU NDIO MUDA MZURI WA CONNECTION ZA JWTZ ila usijidanganye nafasi ya vipenyo nafasi ni chache utaliwa hela zako bure
Daah hongera chief kumbe na wewe ushapata mtu wa kuungaAhsante Kwa maelezo mkuu. Mie namshukuru Mungu alishanipa connection kitambo. Ilikua katika kuboreshwa mjadala tu. Shukrani Kwa maelezo.
Daah hongera chief kumbe na wewe ushapata mtu wa kuunga
Ahaa pamoja sana si wengine acha tupambaneMie sipo kabisa kwenye hiyo tasnia mkuu. Ila namshukuru Mungu sitafuti ajira Kwa Sasa.
Ahaa pamoja sana si wengine acha tupambane
Mie sipo kabisa kwenye hiyo tasnia mkuu. Ila namshukuru Mungu sitafuti ajira Kwa Sasa.
Tuwe na subiranimesoma comments hzo juu ila sijaona hta moja kuhusu polisi watakuja lini maana kibali wamepewa ila kimya till now
Uzi una trend unajua tayari ukiingia holaa [emoji3]nimesoma comments hzo juu ila sijaona hta moja kuhusu polisi watakuja lini maana kibali wamepewa ila kimya till now
Hahahha umeonaHuu uzi ukaushieni
Uzi utulie kwanzaHahahha umeona
hakuna private wa jwtz anayeanza ma 1.5m wote wanaanza na 500+ k kinachoongezeka ni posho na lesheni(" na lesheni inaweza kukatwa vilevile kutokana na kikosi") tuu labda akiwa na degree ndo inaweza ikafika M ila mshahara hamna anaechukua Milion private anayeanzaAsubuhi ya leo kupitia EFM RADIO
kipindi cha chumvi na kina maulidi kitenge magazeti yametoa malalamiko ya polisi kuwa mishahara yao ni finyu mno plus traffic police wameondolewa posho ya pango.
BAADA ya dakika chache kuna jamaa akamtumia ujumbe wa sms Maulidi KITENGE kuwa wenzetu Jwtz private anaanza na malipo ya 1.5 M lkn sisi polic unaye anza kazi ni ni 500K .
wazee nikawaza sana inamana huko polisi hali ngumu kiasi kwamba jamaa wanalia lia namna hii ?
soma gazeti la mwananchi na raia mwema la tarehe ya leo. Halafu fanya reference ya kipindi cha chumvi hata yutube kwa clarification zaidi .polisi kwa moto mzeehakuna private wa jwtz anayeanza ma 1.5m wote wanaanza na 500+ k kinachoongezeka ni posho na lesheni(" na lesheni inaweza kukatwa vilevile kutokana na kikosi") tuu labda akiwa na degree ndo inaweza ikafika M ila mshahara hamna anaechukua Milion private anayeanza
bdo kimyaa mzee babaHamna jambo bado duuh
Hiii itakuwa. Mwakanbdo kimyaa mzee baba
Acha hzo wewe sasa unataka kutoa identity yake ili iweje sasa.Hii wiki ikiisha jamaa wa ikulu hapokei simu yangu nitaweka hata utambulisho wake full mpaka miamala yote ya milioni 1 yangu [emoji22][emoji22]
Vijana hawana subira hawa...wakiingia chomboni wataweza kweli kustahimili mamboAcha hzo wewe sasa unataka kutoa identity yake ili iweje sasa.