The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Hakuna tangazo ispokuwa jwtz wana utaratibu wao wa kuajiri after kuruta kumaliza kozi ya JKT
Sasa baada ya kundi la mwisho kumaliza kozi yao ya ajira (kuwa wanajeshi) kambi za kozi za ajira zikabaki wazi ambapo baadhi ya kambi wameshaanza kuripoti wakisubiri wengine
ALL IN ALL HUU NDIO MUDA MZURI WA CONNECTION ZA JWTZ ila usijidanganye nafasi ya vipenyo nafasi ni chache utaliwa hela zako bure
Ahsante Kwa maelezo mkuu. Mie namshukuru Mungu alishanipa connection kitambo. Ilikua katika kuboreshwa mjadala tu. Shukrani Kwa maelezo.