Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hakuna tangazo ispokuwa jwtz wana utaratibu wao wa kuajiri after kuruta kumaliza kozi ya JKT

Sasa baada ya kundi la mwisho kumaliza kozi yao ya ajira (kuwa wanajeshi) kambi za kozi za ajira zikabaki wazi ambapo baadhi ya kambi wameshaanza kuripoti wakisubiri wengine

ALL IN ALL HUU NDIO MUDA MZURI WA CONNECTION ZA JWTZ ila usijidanganye nafasi ya vipenyo nafasi ni chache utaliwa hela zako bure

Ahsante Kwa maelezo mkuu. Mie namshukuru Mungu alishanipa connection kitambo. Ilikua katika kuboreshwa mjadala tu. Shukrani Kwa maelezo.
 
Asubuhi ya leo kupitia EFM RADIO
kipindi cha chumvi na kina maulidi kitenge magazeti yametoa malalamiko ya polisi kuwa mishahara yao ni finyu mno plus traffic police wameondolewa posho ya pango.
BAADA ya dakika chache kuna jamaa akamtumia ujumbe wa sms Maulidi KITENGE kuwa wenzetu Jwtz private anaanza na malipo ya 1.5 M lkn sisi polic unaye anza kazi ni ni 500K .
wazee nikawaza sana inamana huko polisi hali ngumu kiasi kwamba jamaa wanalia lia namna hii ?
 
hakuna private wa jwtz anayeanza ma 1.5m wote wanaanza na 500+ k kinachoongezeka ni posho na lesheni(" na lesheni inaweza kukatwa vilevile kutokana na kikosi") tuu labda akiwa na degree ndo inaweza ikafika M ila mshahara hamna anaechukua Milion private anayeanza
 
soma gazeti la mwananchi na raia mwema la tarehe ya leo. Halafu fanya reference ya kipindi cha chumvi hata yutube kwa clarification zaidi .polisi kwa moto mzee
 
Hii wiki ikiisha jamaa wa ikulu hapokei simu yangu nitaweka hata utambulisho wake full mpaka miamala yote ya milioni 1 yangu [emoji22][emoji22]
 
Back
Top Bottom