Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kijana unajua maana ya reasoning? Sasa hapo mtoa hoja amekosea nini? Sorry kapitie vizur maana ya neno uwajibikaji, then utaelewa mchiz anamaanisha nini. Kwangu mchizi yupo sahihi Sana jeshi la polisi linabidi lijichunguze sana, VIJANA WENGI WANAPATA MAFUNZO YA POLISI BILA KUJUA POLICE GENERAL ORDER (PGO) ndomaana wanafanya Mambo ya ajabu, lilikuwa na umuhimu gani wa tanpol kuvuka mpaka na kwenda nchi nyingine kukamata waalitu wakati wenyewe hawana hayo mamlaka, hayo mamlaka ni ya Interpol [emoji23][emoji23][emoji23]. ALL IN ALL Mungu akusaidie upate nafasi ya kujiunga na jeshi la polisi hili usaidie/ulete uafadhari wa maisha kwa ndugu na jamaa[emoji1241][emoji3590]
Sawa ila mkuu kuna kamsemo kanasema you can't judge a book by a single chapter .alikosea kusema jeshi ni wala rushwa wadhulumu Sababu matendo maovu hufanywa na kila mtu na kila sector kuna wala rushwa hadi wadhulumu.alichotskiwa aseme ni kujenga na siyo kubomoa na kuleta maneno ya chuki kwa jamii .mwisho wa siku polisi Ni binadamu na raia wakawaida ni binadamu .cha muhimu kuna umuhimu mkubwa watumishi wote wa serikali kufundishwa uzalendo na haki za kibinadamu hasa upande wa majeshi .shukran mkuu
 
Mkuu nimetumia cheti cha form six nimeitwa usaili wa kwanza.tayari ila kukaaa kwangu mtaani zaidi ya miaka mitatu kumenifanya nijue ufundi rangi japo sina cheti nishapiga kazi site za wachina na bado napiga huku nikifatilia hizi nafasi . vipi ukiwa na ujuzi kuna faida ya ziada huko mbeleni
Ujuzi una faidia tangu unaanza usaili mpaka kwenye kazi zako (kuna allowances mbalimbali kwa wenye fani unalipwa kila muda) ndiyo maana kuna mtu ana mshahara wa laki 5 lakini akiweka na hayo marupurupu anafika 1.3m kwa mwezi..
 
Kila Kona mnalaumiwa nyie tu vilaza na ndio maana kule Malawi mmekoswakoswa kuuwawa na wamalawi kwa ukilaza wenu mnashika vi smg tu mnaonea raia je mngekuwa na makombora na vifaru Kama jwtz pumbavu kabisa nyie.
Mafunzo ya Polisi kwa sasa yameboreshwa sana,zana za kivita mbalimbali wanafundishwa pia kama ilivyo kwa TPDF.
 
Kila siku polisi hamuachi kufanya uovu na ujinga Jana wenzenu huko ileje wamevuka mpaka kuingia nchi ya watu wakapewa kichapo watanzania wengi wamefurahishwa na polisi wao kupigwa Malawi jiulize kwanini waovu wakubwa nyie. Mnadhani ingekuwa jwtz tungefurahi?
Kuna tatizo mahali kwa Askari wetu wa PT,kuvuka mpaka wa nchi nyingine ni kutangaza vita kabisa nadhani ngazi za kinidhamu ndani ya Jeshi waliangalie hili washughulikie na wawawajibishe hao polisi wetu.

Hili jambo ni kubwa sana,wakilifumbia macho kesho wengine wataingia hata maeneo yenye kinga za kidiplomasia kama Balozi nk.
 
Stress mnazo nyie polisi hamuoni mnavyofanya mambo kijinga mpaka jamii inawachukia? Mbona jwtz hawachukiwi hivyo?
Siwatetei PT lakini aina ya majukumu yao hasa ukaribu na wananchi ndiyo kumefanya jamii ijue uzuri na udhaifu wa kila Askari nk.

TPDF linaheshimika na wananchi kwa kuwa jukumu lao la msingi halihusiani sana kuwa na ukaribu na wananchi hivyo ni ngumu kujua madhaifu yao kama kwa vyombo vilivyo chini ya Mambo ya Ndani hasa PT.
 
Kuna tatizo mahali kwa Askari wetu wa PT,kuvuka mpaka wa nchi nyingine ni kutangaza vita kabisa nadhani ngazi za kinidhamu ndani ya Jeshi waliangalie hili washughulikie na wawawajibishe hao polisi wetu.

Hili jambo ni kubwa sana,wakilifumbia macho kesho wengine wataingia hata maeneo yenye kinga za kidiplomasia kama Balozi nk.
Wana elimu ndogo ndio maana wanafanya ujinga kila siku na Hilo la kuingia Malawi ni kutokujua Sheria za kimataifa.
 
Nipo JIJINI hapa kumpata ni balaaaaa Bora hata mkoa nilietoka alikuwa yule White kipindi JPM Anaanza kazi alikuwa PSU wake
Moshi mjini? Yule ni DSO, kama ni Dar es salaam njoo PM nikuambie utampata wapi?
 
Ujuzi una faidia tangu unaanza usaili mpaka kwenye kazi zako (kuna allowances mbalimbali kwa wenye fani unalipwa kila muda) ndiyo maana kuna mtu ana mshahara wa laki 5 lakini akiweka na hayo marupurupu anafika 1.3m kwa mwezi..
Sina cheti mkuu lkn ufundi rangi naujua vizuri .ntajiongeza huko huko .kuna majamaa walisomea veta lkn wapo slow wanaharibu kazi hadi mchina kawafukuza.me naamimi ufanisi wa kazi na ubora unaonekana kwenye kazi siyo makaratasi
 
Kwenye ukaguzi wa fani cha kwanza cheti, vitendo baadae.
 
Mimekufuata
Nimeoa unataka kuwa penetration officer ama upande wa lindo, kama ni penetration officer angalau uwe na vigezo vya kufanya katisha taasisi yoyote ya serikali.
 
Back
Top Bottom