MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Hivi kupitia kwa haipo ? ( K.K) yani anuani ya kamanda polisi mkoa husika halafuS.l.p ya dodoma alaf barua utaiwasilisha kwa kamanda wa polisi wa mkoa na sio kama utumie slp ya mkoa uliopo.
Soma kipengele namba (i), wote watume Kwa anuani hiyo ilivyoandikwa hapo juu.Hivi kupitia kwa haipo ? ( K.K) yani anuani ya kamanda polisi mkoa husika halafu
Chini hiyo ya Dodoma
Maana barua imepitia kwake
Mimi ninavyojua katika uandishi wa barua iko hivyo au mliosoma kiswahili vizuri embu tuelewesheni hapa
Kwenye kuandika barua ndio usomi huo ..maana ulijifunza darasani hukuzaliwa unajua kuandika barua vitu vidogo kama hivyo vina cost watuSoma kipengele namba (i), wote watume Kwa anuani hiyo ilivyoandikwa hapo juu.
Usiweke usomi Wa darasani wakati maelekezo ya kupitia Kwa (K.K) hamna hapo.View attachment 2439875
Kama anataka aende polisi kwa kigezo cha mshahara ..mwambie aache atateseka sana ,hizi kazi ni za kizalendo aise....apambane na masuala mengine uraiani ya kumuongezea kipatoJamani eee kuna binti kaniuliza Ana miaka 25
Ana degree ya education(physics and chemistry) wanaruhusiwa kuomba
Note
Anafundisha private mshahara wake ni laki sita
Kwa mshahara wake huo utazidi wa polisi
Kiprotocal za uandishi wa barua inatakiwa iandikwe k.k lakin kwa maelezo yao naona kama haihitaji hvyo sijui lakini..Hivi kupitia kwa haipo ? ( K.K) yani anuani ya kamanda polisi mkoa husika halafu
Chini hiyo ya Dodoma
Maana barua imepitia kwake
Mimi ninavyojua katika uandishi wa barua iko hivyo au mliosoma kiswahili vizuri embu tuelewesheni hapa
Mkuu umesahau muundo wa barua kwa ujumla!!Hivi kupitia kwa haipo ? ( K.K) yani anuani ya kamanda polisi mkoa husika halafu
Chini hiyo ya Dodoma
Maana barua imepitia kwake
Mimi ninavyojua katika uandishi wa barua iko hivyo au mliosoma kiswahili vizuri embu tuelewesheni hapa
Cjui ila hawakosekaniKuna Form six ambaye ameshapeleka maombi Kupitia cheti cha form four
Hivi kwa nn vijana hawa hawajaajiliwa mpaka leo wapo.msata shida nndaah wale jamaa waasi waliosamehewa wapo uzalendo miez 9 sahiz na millitary science wameenda wiki iliyopita
Kama kuna medics yupo kazini tayari (maafande) tunaomba mtushauri hapa tuyavagae au vipi tutegemee yap
Nakushauri ambatanisha. Kipengele f cha tangazo kimetaka hivyo. Haikutoi damu ukiambatanisha. Ingawa watakupima pia wao na wameitaja kwenye tangazo peleka.Hili swala nilisema huko juu
Kwenye viambatanisho hawajataka fomu ya daktari wala barua ya utambulisho wala passport size Kama zamani wanavyosema
Ila watu wabishi
Kama akipita na kupata ajira , mshahara wake utakuw zaidi ya huo. Na kuna posho zingine nje ya mshahara atapata.Kama anataka aende polisi kwa kigezo cha mshahara ..mwambie aache atateseka sana ,hizi kazi ni za kizalendo aise....apambane na masuala mengine uraiani ya kumuongezea kipato
Hakuna umuhimKingine je Kuna umuhimu wa kupiga muhuri wa mwana sheria kwenye vyeti kwa wale wa form 4
Ajira za majeshi hazinaga Mambo hayo me nishaitwa usaili zaidi ya mara 4 kwenye majeshi na sikupita cjui kwa mwanasheriaKingine je Kuna umuhimu wa kupiga muhuri wa mwana sheria kwenye vyeti kwa wale wa form 4
Kumbe military science wameshaenda ?? Nilijua badodaah wale jamaa waasi waliosamehewa wapo uzalendo miez 9 sahiz na millitary science wameenda wiki iliyopita
Kama akipita na kupata ajira , mshahara wake utakuw zaidi ya huo. Na kuna posho zingine nje ya mshahara atapata.