Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

kwenye leaving wanacheki miaka uliyo jaza mzee baba, ndomana wanazidai,
mana mtu unaweza foji miaka huku chuo, na ikawa haifananai nayakwenye leaving zako. napia isifanane na kwenye document zako za primary
Anha!! Kumbeh!!.

Ila sasa huu ni utaratibu mbovu maana sio kila shule hutoa leaving..

Swala la leaving certificate kwa sasa naona lipo kwa matakwa ya shule na sio sheria kutoka wizarani.
 
kwenye leaving wanacheki miaka uliyo jaza mzee baba, ndomana wanazidai,
mana mtu unaweza foji miaka huku chuo, na ikawa haifananai nayakwenye leaving zako. napia isifanane na kwenye document zako za primary
Sijakuelewa wanacheki miaka kivipi?
 
Kwenye leaving certificate kwa miaka ya hivi karibuni hawatoi ..mfano mm nilimaliza 4m4 2015 kwa shule yetu mwaka huo hazikutoka kabisa ..sasa sijajua mantiki yao ni nini
 
Mungu awatangulie wapiganaji,sema wengine punguzeni kupagawa,mnauliza maswali na maelekezo yapo wazi kabisa kwenye barua hiyo.
Pambaneni mkalitumikie Taifa.
Kuhusu maslahi niseme tu pesa ipo.
Kafanyeni kazi.
Nimekuelewa kaka ,Ubarikiwe sana
 
Kwenye leaving certificate kwa miaka ya hivi karibuni hawatoi ..mfano mm nilimaliza 4m4 2015 kwa shule yetu mwaka huo hazikutoka kabisa ..sasa sijajua mantiki yao ni nini

Inategemea na shule mkuu, mimi nilipata 2016.
 
Nadhani mchakato unakua ndani ya mwezi mmoja after apo usaili unafanyika
 
Mungu awatangulie wapiganaji,sema wengine punguzeni kupagawa,mnauliza maswali na maelekezo yapo wazi kabisa kwenye barua hiyo.
Pambaneni mkalitumikie Taifa.
Kuhusu maslahi niseme tu pesa ipo.
Kafanyeni kazi.
Asante Sana Mkuu
 
Ajira zilizopita deadline ya maombi Ilikuwa 30/08/2021 na majina ya waliochaguliwa ilitoka 19/10/2021 almost miezi miwili na nusu.

Kuripoti makambini Ilikuwa 23-29/10/2021.
Asante ndugu...ila Nina swali moja bado, si lazima waliitwa interview?? Maana hadi majina ya waliochaguliwa kutoka maanake waliitwa interview wakasailiwa au hawakufanya usaili walichagua huko huko jukwaju?
 
Usaili waliitwa na walifanya
 
Nimeona mnazungumzia suala la leaving vijana

Msiache kuiweka kwa waliofanya saili za nyuma uhamiaji, magereza , zimamoto wataaambia

Kama huna leaving unaenda shule uliyosoma na passport mwalimu mkuu anaandika kukuthibitishia na anapiga muhuri wengi walifanya hivyo
 
Na kwale mliomaliza 2014 na 2015 msiache kuomba bado kigezo cha umri mnacho maana ktk hiyo miaka mpka sahivi hukosi 25 hata kama hamjamliza 2016 kama walivyosema we omba
 
Vp kuhusu saili zao huwa zipoje mkuu
Na kwale mliomaliza 2014 na 2015 msiache kuomba bado kigezo cha umri mnacho maana ktk hiyo miaka mpka sahivi hukosi 25 hata kama hamjamliza 2016 kama walivyosema we omba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…