Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wazee wa madili [emoji3]

Halafu wanasema polisi hawana hela hawa watu ukipita huko makambini unakuta wamepaki magari yao kama yote

Wengi wataropoka ya mkopo ..sasa kopa wewe ununue sasa ulihudumie tukuone
 
TGE ni 1M
 
vijana nashauri tumeni maombi kwa umakini. pia omba mungu asaidie .tatu tafuta waku kukushika mkono otherwise hzi nafasi zimejaa ambao tumeanza kuzipambania kitambo tunafahamu uchungu wa kukosa tangu post za pccb,immigration nk kifupi tu idara za ulinzi na majeshi pasipo connection kutoboa uwe na bahati yako sana,nawasilisha.
 
Naomba mnijuze mwenye ufahamu kwa aliyefika chuo cha kuambatanisha ni cheti tu au na transcript nayo pia unaweka na leaving certificate km unayo moja tu vip yaan km unayo ya advance tu vip itafaa au lazima uwe nazo zote mbili
 
Inategemea na wanahitaji kuona nini. Mfano watu wa Diploma ya IT mnaweza kuomba 20, Wakasema tuchague mwenye GPA kubwa au Aliyefaulu kozi fulani fulani mfano Programming na Networking, au Maintanence na Networking. Je watajuaje wewe una GPA gani bila Transcript?

Ushauri:
Ambatanisha vyote tu na ndio vinavyotambulika kama VYETI VYA TAALUMA.
 
Kaka Bora umesema wewe,siye tupo kitambo sana tunazipambania toka natumia ile ID yangu ya Gpili

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Hivi kama pale kwenye zile kozi walizotaja wanataka mtu mwenye diploma na wewe una degree, haiwezi kutokea bahati ya mtende au nikate tamaa tu nipotezee.
 
BBr
Hivi kama pale kwenye zile kozi walizotaja wanataka mtu mwenye diploma na wewe una degree, haiwezi kutokea bahati ya mtende au nikate tamaa tu nipotezee.
Bro peleka maombi....usifikirie hili wala lile. Inaweza kuwa bahati yako
 
Nyie watu wa IT kuna practical ya mambo yenu hayo...ukisanua unapita mambo mengine kama hiyo sector hayahitaj GPA ya kwenye cheti ila maujanja yako na computer
 
Naona mambo ni moto walianza zimamoto/uokoaji, wakaja polisi, sasa uhamiaji,magereza na Tpdf ndo zitafunga dimba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…