Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hvvv hawa uhamiajii kunywe issue ya kudhbtshaa vyeti mpk hakimu?? Hawa mawakili wa mtaani hawatakiwiii??

Na je hizii leaving certificate na zenywe zina dhibitshwaaa??

Coz na changanyikiwaaa hukuuu...
 
Hvvv hawa uhamiajii kunywe issue ya kudhbtshaa vyeti mpk hakimu?? Hawa mawakili wa mtaani hawatakiwiii??

Na je hizii leaving certificate na zenywe zina dhibitshwaaa??

Coz na changanyikiwaaa hukuuu...
Wakili yeyote anathibitisha as longer as n wakili

NB: sio kila mwanasheria n wakili na kila wakili n mwanasheria
 
Acha kushikiwa akili wewe dogo polisi inawasomi wengi wengine ni madokta wa falsafa,wahadhiri pia jaribu kwenda kwenye kambi ya polisi yoyote iliyokaribu yako kaulize elimu ya polisi mmoja mmoja halafu uje hapa utapatie mrejesho.Utapa diploma nyingi,form six, na digrii kadhaa na hata hao kidato cha 4 utawapata wenye alama nzuri tu na wenye uelewa wa mambo mengi.
Dogo janja anaonyesha kuwa anaijua ngoma vizuri kumbe ni mweupe,nadhani PT kwa majeshi yetu kwasasa wanaweza kuwa wanaongoza kwa Askari wengi kuwa na elimu za juu.
 
Dogo janja anaonyesha kuwa anaijua ngoma vizuri kumbe ni mweupe,nadhani PT kwa majeshi yetu kwasasa wanaweza kuwa wanaongoza kwa Askari wengi kuwa na elimu za juu.
Qumernyoko [emoji1787] eti wanangoza elimu za juu

Utadhani majeshi mengine hayasomi

Mengine tu hawachukuwi form 4

Ni kuanzia diploma mfano jeshi la uhifadhi (tfs) kamishna mkuu tu ni profesa

Hapo sijagusa mtipidii na mengineyo

mnafarijiana
 
Back
Top Bottom