BlackHermito
JF-Expert Member
- Oct 15, 2020
- 748
- 1,131
Sio lazima kuandika kiswahili. Unaweza kuandika kizungu pia.Andika kwa kiswahili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio lazima kuandika kiswahili. Unaweza kuandika kizungu pia.Andika kwa kiswahili
Cv nadhan kwa wenye fani tuNa hapoo kwenye wasifu (CV) kwa form 4 na 6 inakuwajee??
Auu hyoo inalengaa kwa hawa wenye shahadaaa??
According to Scale ya serikalini tu mkuu..ITs najua wanapokea btn 900-1mdegree za Engineering je mkuu?
Aandike kishwahili sababu tangazo limetoka kwa kishwahili mkuu,me huo ndio uzoefu wanguSio lazima kuandika kiswahili. Unaweza kuandika kizungu pia.
Degree au?Uhamiaji medics hatutakiwi dah
Aandike kishwahili sababu tangazo limetoka kwa kishwahili mkuu,me huo ndio uzoefu wangu
Hadi kwa kichina pia unaweza kuandika!!! Sasa kwanini ucomplicatishe mambo kiasi hiko.. andike tu kiswahiliSio lazima kuandika kiswahili. Unaweza kuandika kizungu pia.
Wakili yeyote anathibitisha as longer as n wakiliHvvv hawa uhamiajii kunywe issue ya kudhbtshaa vyeti mpk hakimu?? Hawa mawakili wa mtaani hawatakiwiii??
Na je hizii leaving certificate na zenywe zina dhibitshwaaa??
Coz na changanyikiwaaa hukuuu...
Acha kucomplicate maishaSio lazima mkuu. Tangazo kutoka kwa kiswahili haimaanishi kuwa ni lazima uandike kwa Kiswahili.
Bachelor had diploma sjaonaDegree au?
Asantehhhh!!!Wakili yeyote anathibitisha as longer as n wakili
NB: sio kila mwanasheria n wakili na kila wakili n mwanasheria
Achana na hzo leaving we thibitisha academics certificates na birth certificateNa vipii khsu kuthibitishaa vyetii n mpk hvv vya leaving certificate??
Wengine hawastaafu ndio wanazidi kupewa wadhifa [emoji1787][emoji1787]sema ni ugaigai wa kanchi ketu ila ilipaswa kila mwaka watu wastaafu wengine waajiriwe.
Mwaka jana walichukua pia ambao hawana fani kama wote bado tena waliongeza wengineKwa sisi form 4 na 6 ambao hatuna fani walizotaja hapoo ila tumepita zetu JKT wanaweza kutuangaliaa kweliii???
Dogo janja anaonyesha kuwa anaijua ngoma vizuri kumbe ni mweupe,nadhani PT kwa majeshi yetu kwasasa wanaweza kuwa wanaongoza kwa Askari wengi kuwa na elimu za juu.Acha kushikiwa akili wewe dogo polisi inawasomi wengi wengine ni madokta wa falsafa,wahadhiri pia jaribu kwenda kwenye kambi ya polisi yoyote iliyokaribu yako kaulize elimu ya polisi mmoja mmoja halafu uje hapa utapatie mrejesho.Utapa diploma nyingi,form six, na digrii kadhaa na hata hao kidato cha 4 utawapata wenye alama nzuri tu na wenye uelewa wa mambo mengi.
Apo ndo uduwanzi unapoanziaWengine hawastaafu ndio wanazidi kupewa wadhifa [emoji1787][emoji1787]
Qumernyoko [emoji1787] eti wanangoza elimu za juuDogo janja anaonyesha kuwa anaijua ngoma vizuri kumbe ni mweupe,nadhani PT kwa majeshi yetu kwasasa wanaweza kuwa wanaongoza kwa Askari wengi kuwa na elimu za juu.