Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Sio mshahara tunazungumzia hela anazolipwa na serikali kwa mwezi.

Mdogo wangu kanipa details:-
-Mshahara nasikia ni zaidi ya laki 4
-Posho ya kula laki 3
-Posho ya kunywea vinywaji laki 1 kila mwezi
hapo hapo wanalipiwa hela ya pango, kama una ujuzi pia utalipwa na kama upo upelelezi utalipwa hela ya mavazi na upelelezi(kama sio 17% au 20%) ya mshahara.Huyo ni askari wa form four tu je,hapo ukijumuisha hapati laki 9 kwa mwezi? Akiingia lindo pia analipwa na escort analipwa.Polisi ni kazi nzuri tu tofauti na inavyobezwa na wanasiasa.

Ukiwa trafik ndo akili kumkichwa[emoji1]
Traffic atakua anafika million na unusu 😅
 
Na wengi huwa wanapenda kwenda trafiki
 
Bado sijagusia Tanapa kuna kila mwenye ngazi ya elimu kuanzia form 4 mpka kuendelea ambapo kuna mpka ma botanist ...watu wa wildlife nakadhalika wamesoma

Hilo pia ni jeshi ndio nakufundisha jeshi sio polisi, magereza , uhamiaji na zimamoto

Rudi darasani maana we kichwani ndio mweupe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndgu zangun Tanzania tuna jeshi moja tu basi nalo ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ( JWTZ) hayo mengn yoote ni idara tu mfano police na uhamiaj ni idara ya mambo ya ndani.
 
Naungana nawewe mkuu[emoji23]
 
Sawa nilijua kuna wizara ya jeshi la wananchi jwtz, so kumbe jwtz ipo chini ya wizara ya ulinzi.

Okay nimekuelewa kiongozi.
Jw iko chini ya wizara ya ulinzi. Ndio maana waziri wa ulinzi anaweza vaa kombati la jeshi akipendelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndgu zangun Tanzania tuna jeshi moja tu basi nalo ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ( JWTZ) hayo mengn yoote ni idara tu mfano police na uhamiaj ni idara ya mambo ya ndani.
Uhamiaji ilikuwa ni idara hvi karibuni ndio imepewa hadhi ya Jeshi,
 
Jwtz ipo chini ya wizara ya ulinzi, same applied na polisi, uhamiaji, magereza etc zipo chini ya wizara ya mambo ya ndani.

Au uwezo wangu ni mdogo kupambanua mambo ya kikatiba yenye uelewa mpana, naomba msaada hapa kiongozi.
 
HAta JWTZ ipo chini ya Wizara ya ulinzi na Jkt..kwahyo nayo ni idara??
Jw,Police,uhamiaji ,zimamoto haya yote ni majeshi na majuzi hivi wale wa uhifadhi misitu walibadilishwa kua jeshi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndgu zangun Tanzania tuna jeshi moja tu basi nalo ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ( JWTZ) hayo mengn yoote ni idara tu mfano police na uhamiaj ni idara ya mambo ya ndani
 
Hivi nauliza kwenye vazi la Askari polisi wale wanaovaa rangi ya kaki na wale wanaovaa kijani wanatofauti gani au ni tofauti ya vitengo tu?
 
Umeniwahi tu kidogo
Jwtz ipo chini ya wizara ya ulinzi, same applied na polisi, uhamiaji, magereza etc zipo chini ya wizara ya mambo ya ndani.

Au uwezo wangu ni mdogo kupambanua mambo ya kikatiba yenye uelewa mpana, naomba msaada hapa kiongozi.
 
Uhamiaji ilikuwa ni idara hvi karibuni ndio imepewa hadhi ya Jeshi,
Tangazo lao la kazi umeliona lkn
Screenshot_20221216-121217.jpg
 
Back
Top Bottom