MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Nimekutana na mzee wa posta ananiambia kutuma barua kwa EMS sio sahihi maana njia ya EMS maombi hupelekwa kwa mkono. Imebidi nitume kwa posta ya kawaida sasa najiuliza haya maombi ya uhamiaji deadline ni tarehe 29 mwez huu, hawa jamaa wana weza ifikisha barua mwakani mwez wa kwanza kabisa maana njia yao utata mwingi.