Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

wakuu nipo nautupia mkeka wa polisi hapa.hv S/N Unajaza nn pale kwenye kiambatanisho B cha polisi???
 
Ila wanaoomba kazi wanamaswali ambayo yapo kwenye tangazo kabisa😀, nawaza hiyo interview mtakavyofarakana. Kila la kheri.
 
Kuna shida yoyote kama mtu alikosea mwanzo kutuma maombi alisahau kuatach vitu akatuma tena kwa mara nyengine??
 
Jaman naomba kuuliza njia sahihi ya kutuma maombi ya Uhamiaji kwa posta ni ipi kawaida au EMS,
 
Napata ukakasi kuhusu hayo maelekezo apo chini
IMG-20221213-WA0000.jpg
 
 M

Mwaka jana polisi walitaka kwa njia ya posta na watu wengi walitumia njia ya EMS na kwenye usaili waliitwa. Sidhani kama ukitumia EMS kuwa barua zako zitakataliwa. Hapana.
Kuna mtu hakuitwa na alitumia EMS na me ndiyo nilienda tuma
 
Dahh ajira za police zimekua dili kias hiki wakat ni kaz zinazobezwa na kila mtu maslahi madogo mno yaan ukikaa nao wanavyolalamika hawana kitu acha tu hasa hawa walinda bank usiseme elfu kumi yao kwa cku imepita hio
 
Polisi imefanyiwa marekebisho makubwa siku hizi tofauti na miaka ya nyuma kidogo.

Polisi ana basic salary.

Ana ration na hela ya vinywajii.

Bàdo akiingia guard na escort analipwa vile vile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WatU hawajui haya...in short vijana wanaoingia vyombo vya ulinzi kwa miaka ya karibuni wanapata pesa nzuri kiasi tofauti na wale wa zamani walikuw hawan benefits nyingi
 
Back
Top Bottom