Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Zile ni sifa za waombaji ila form ya form sijui ya afya siyo, kiambatanisho kinachotakiwa kumbuka huko kuna kupimwa tena upya kabisa

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Najua kuwa kuna kupimwa tena. Na sio mara moja.Utapimwa wakati wa usaili. Ukipita usaili utapimwa tena kambini kabla ya kuanza mafunzo rasmi. Na hata katikati ya mafunzo mnaweza mkapimwa tena. So hilo sio zoezi la mara moja tu. Ni ushauri wangu tu, kama ilivyokuw huko nyuma. Kama unaweza kuiambatanisha iweke maana haitakupunguzia chochote as long as it is mentioned there. Jioni njema boss
 
Dogo janja anaonyesha kuwa anaijua ngoma vizuri kumbe ni mweupe,nadhani PT kwa majeshi yetu kwasasa wanaweza kuwa wanaongoza kwa Askari wengi kuwa na elimu za juu.
Polisi wanaajiriwa wengi sana japo hawawezi fikia JW kwa waliomaliza kozi zilizopita lazima wasomi wawepo wa kutosha na sikuhizi mambo ni weledi zaidi lazima tu wasomi wawepo
 
Hakuna jeshi linaitwa la uhifadhi hiyo ni taasisi tu haitambuliki kama jeshi kikatiba, mtaitana jeshi huko huko kwasababu ya kuvaa unform ila kikatiba haitambuliki
Kawaida kabisa ni Bongo tu ndio wanazingua Polisi sijui Magereza sijui nani huko uhamiaji hizo hazikupaswa kuwa jeshi!! Zile ni Department au Servicces tu

Miaka ya nyuma nilikuwa nasikia sana wanaitwa idara ya uhamiaji hata uniform walikuwa hawapendi kuvaa sikuhizi nasikia ni jeshi!!!
 
Sijui mishahara yao ,sema Watoto wa mama ntilie sisi,wazazi wetu umri ushaenda tunatamani kuwasaidia ila kazi hatuna,pesa hakuna siwezi chagua kazi napambana hata kma kidogo hakitatosha kuhonga kitatosha kumlea mama, Mungu atubariki hii rizki [emoji120]
Mkuu nakutakia kila la kheri natamani sana utoboe mtaani hakufahi mkuu wangu uko katika sara zangu
 
Najua kuwa kuna kupimwa tena. Na sio mara moja.Utapimwa wakati wa usaili. Ukipita usaili utapimwa tena kambini kabla ya kuanza mafunzo rasmi. Na hata katikati ya mafunzo mnaweza mkapimwa tena. So hilo sio zoezi la mara moja tu. Ni ushauri wangu tu, kama ilivyokuw huko nyuma. Kama unaweza kuiambatanisha iweke maana haitakupunguzia chochote as long as it is mentioned there. Jioni njema boss
Tupo pamoja mkuu,Kuna mtu kanipanga asema iwepo tu,ndio ile bora usali kuliko kutosali alafu ukajakutana na mungu yupo kweli

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom