MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Unajua maana ya paramilitary au unatumia tu misamitiWewe ni mjuaji sana dogo janja.
TFS,TANAPA hapa hakuna majeshi dogo hizi ni paramilitary.
Jeshi ni TPDF,PT,MT,UT,ZT.
Acha ujuaji.
paramilitary yaani ni nusu jeshi.. jeshi usu na nusu jeshi maana yake ni jeshi ambalo haliruhusiwi kutumia aina zote za silaha kwahiyo kiufupi majeshi yote ni jeshi usu kasoro JWTZ .
ni jeshi ambalo shughuli zake nyingi zinadili na mambo ya kiraia kuliko mambo ya medani au kivita, neno Usu Kwa maana nyingine ni nusu kitu kisicho kamili kwamktadha huo Jeshi ni Moja tu JWTZ hayo mengine sjui magereza , polisi ni majeshi USU likiwemo na Hilo jeshi la Uhifadhi ambalo liko chini ya wizara ya maliasili na utalii
Unasema hayatambuliki hayapo kwenye katiba ni wewe peke yako ndio huyajui ... nchi yako inayatambua na jeshi la uhifadhi limezinduliwa 2018
Hakuna kitu unajua