Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wewe ni mjuaji sana dogo janja.
TFS,TANAPA hapa hakuna majeshi dogo hizi ni paramilitary.
Jeshi ni TPDF,PT,MT,UT,ZT.
Acha ujuaji.
Unajua maana ya paramilitary au unatumia tu misamiti

paramilitary yaani ni nusu jeshi.. jeshi usu na nusu jeshi maana yake ni jeshi ambalo haliruhusiwi kutumia aina zote za silaha kwahiyo kiufupi majeshi yote ni jeshi usu kasoro JWTZ .

ni jeshi ambalo shughuli zake nyingi zinadili na mambo ya kiraia kuliko mambo ya medani au kivita, neno Usu Kwa maana nyingine ni nusu kitu kisicho kamili kwamktadha huo Jeshi ni Moja tu JWTZ hayo mengine sjui magereza , polisi ni majeshi USU likiwemo na Hilo jeshi la Uhifadhi ambalo liko chini ya wizara ya maliasili na utalii

Unasema hayatambuliki hayapo kwenye katiba ni wewe peke yako ndio huyajui ... nchi yako inayatambua na jeshi la uhifadhi limezinduliwa 2018

Hakuna kitu unajua
 
Pin point bro ! Sasa umeeleweka
Hakuna wa kupinga
 
Ndiyo maana nikakwambia acha ujuaji huna unalolijua,tulia.
 
H

Hv vtengo huwa wanagawaje mfano traffic,GD,FFU..
au nawenywe wanakatwa mabogi
Mkiwa mnakaribia kumaliza kila kamisheni itakuja kuzungumza na Askari watarajiwa alafu baadae kila kamisheni itachagua Askari wake hapo wapo watakaoenda GD(operesheni na mafunzo) ambayo ndiyo kamisheni inayochukua zaidi Askari wengi.Traffic ni kitengo ndani ya GD,ukifika kituo chako cha kazi utafanya mafunzo kazini hivyo utapita vitengo vyote baadae utapangiwa kitengo chako rasmi sasa.
 
Unajua maana ya paramilitary au unatumia tu misamiti

paramilitary yaani ni nusu jeshi.. jeshi usu na nusu jeshi maana yake ni jeshi ambalo haliruhusiwi kutumia aina zote za silaha kwahiyo kiufupi majeshi yote ni jeshi usu kasoro JWTZ .

ni jeshi ambalo shughuli zake nyingi zinadili na mambo ya kiraia kuliko mambo ya medani au kivita, neno Usu Kwa maana nyingine ni nusu kitu kisicho kamili kwamktadha huo Jeshi ni Moja tu JWTZ hayo mengine sjui magereza , polisi ni majeshi USU likiwemo na Hilo jeshi la Uhifadhi ambalo liko chini ya wizara ya maliasili na utalii

Unasema hayatambuliki hayapo kwenye katiba ni wewe peke yako ndio huyajui ... nchi yako inayatambua na jeshi la uhifadhi limezinduliwa 2018

Hakuna kitu unajua
Usibishe kitu kama hujui mkuu penda kujifunza uhamiaji yenyewe ilibadirishwa mwaka juzi kutoka kuwa idara ya uhamiaji na kuwa jeshi la uhamiaji ndo wakaanzisha na chuo Chao wakaanza na mafunzo ili angalau liwe jeshi

Sio kila idara unasema n jeshi usitumie lugha za mtaani kwenye uhalisia so TANAPA sio jeshi n idara za uhifadhi, ata Tfs n idara ya misitu
 
Kwa mlioomba polisi, naomba mnielekeze kile kiambatisho B baada ya kujaza tunakitumaje pamoja na vile vyeti vingine, kwa maana nineona tu email?
 
Usibishe kitu kama hujui mkuu penda kujifunza uhamiaji yenyewe ilibadirishwa mwaka juzi kutoka kuwa idara ya uhamiaji na kuwa jeshi la uhamiaji ndo wakaanzisha na chuo Chao wakaanza na mafunzo ili angalau liwe jeshi

Sio kila idara unasema n jeshi usitumie lugha za mtaani kwenye uhalisia so TANAPA sio jeshi n idara za uhifadhi, ata Tfs n idara ya misitu
Huyu siyo wa kujifunza ni ile jamii juaji sana kila kitu inajua yenyewe,hapa atabishana na matusi juu utaambulia.
 
Labda TANAPA kidogo ndo serikali ilikuwa na mpango wakulibadisha pia kama Uhamiaji ili nalo liwe jeshi so sjafuatilia kama mpango wao tayari wameshabadilishwa au lah
 
Mkiwa mnakaribia kumaliza kila kamisheni itakuja kuzungumza na Askari watarajiwa alafu baadae kila kamisheni itachagua Askari wake hapo wapo watakaoenda GD(operesheni na mafunzo) ambayo ndiyo kamisheni inayochukua zaidi Askari wengi.Traffic ni kitengo ndani ya GD,ukifika kituo chako cha kazi utafanya mafunzo kazini hivyo utapita vitengo vyote baadae utapangiwa kitengo chako rasmi sasa.
Aaah kumbe traffic hupangiwi mafunzoni..ni mpaka uende kituo cha kazi
 
Huyu siyo wa kujifunza ni ile jamii juaji sana kila kitu inajua yenyewe,hapa atabishana na matusi juu utaambulia.
Naona anaandika mambo mengi tu vitu vingi ata ajui anaandika nini na wakati huenda sio mwajiriwa wa haya majeshi ebu akae apende kujifunza sjui kwann watanzania tunapenda kujua kila kitu badala ya kuomba kujifunza
 
Aaah kumbe traffic hupangiwi mafunzoni..ni mpaka uende kituo cha kazi
Traffic,CID,Anti Robbery nk ni mpaka uripoti kituo cha kazi,wanaokatwa bogi moja kwa moja ni FFU maana wao watapata mafunzo ya ziada jinsi ya kutuliza ghasia wakati GD wanaenda kuripoti vituoni.
Ni hayo.
Mungu awatangulie mnaoenda kuomba nafasi hizo,PT nidhamu sana kule ukiteleza tu unasimamishwa mafunzo jamaa wananyoosha vipengele.
Kalitumikieni Taifa na mtulindie mali zetu.
 
Hapo sasa nimekupata vyema ,ubarikiwe sana kijana kwa maneno yako ya kutia moyo namna hii
 
Traffic,CID,Anti Robbery nk ni mpaka uripoti kituo cha kazi,wanaokatwa bogi moja kwa moja ni FFU maana wao watapata mafunzo ya ziada jinsi ya kutuliza ghasia wakati GD wanaenda kuripoti vituoni.
Ni hayo.
Mungu awatangulie mnaoenda kuomba nafasi hizo,PT nidhamu sana kule ukiteleza tu unasimamishwa mafunzo jamaa wananyoosha vipengele.
Kalitumikieni Taifa na mtulindie mali zetu.
Nidhamu ndio silaha kuu
 
Wadau nimeona baadhi ya watu wanahangaika kutafuta form ya hospital ikiwa kwmye viambatanishi safari hii hawakutaja hii imekaaje ni kukariri au

Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
 
Sijui mishahara yao ,sema Watoto wa mama ntilie sisi,wazazi wetu umri ushaenda tunatamani kuwasaidia ila kazi hatuna,pesa hakuna siwezi chagua kazi napambana hata kma kidogo hakitatosha kuhonga kitatosha kumlea mama, Mungu atubariki hii rizki [emoji120]
Daah mkuu Mungu akusaidie upite maneno yako mpaka nimejisikia vibaya kwakweli.

Wewe na wengine wote muombao nawaombea kwa Mungu baba wa mbinguni awafungulie milango ya ridhiki.
 
Sijui mishahara yao ,sema Watoto wa mama ntilie sisi,wazazi wetu umri ushaenda tunatamani kuwasaidia ila kazi hatuna,pesa hakuna siwezi chagua kazi napambana hata kma kidogo hakitatosha kuhonga kitatosha kumlea mama, Mungu atubariki hii rizki [emoji120]

I feel you bro, wish ya all the best[emoji1488]
 
Back
Top Bottom