southernboy
JF-Expert Member
- Sep 27, 2015
- 882
- 1,075
JKT mujibu wa sheria unaweza kwenda kambi yoyote na ukapokelewa vizuri hata kama hukuchaguliwahiki kigezo cha kupitia jkt ni cha kibAguzi kwa sAbabi wAnOpitia jkt nao wanateuliwa wachache
Traffic atakua anafika million na unusu 😅Sio mshahara tunazungumzia hela anazolipwa na serikali kwa mwezi.
Mdogo wangu kanipa details:-
-Mshahara nasikia ni zaidi ya laki 4
-Posho ya kula laki 3
-Posho ya kunywea vinywaji laki 1 kila mwezi
hapo hapo wanalipiwa hela ya pango, kama una ujuzi pia utalipwa na kama upo upelelezi utalipwa hela ya mavazi na upelelezi(kama sio 17% au 20%) ya mshahara.Huyo ni askari wa form four tu je,hapo ukijumuisha hapati laki 9 kwa mwezi? Akiingia lindo pia analipwa na escort analipwa.Polisi ni kazi nzuri tu tofauti na inavyobezwa na wanasiasa.
Ukiwa trafik ndo akili kumkichwa[emoji1]
Na wengi huwa wanapenda kwenda trafikiSio mshahara tunazungumzia hela anazolipwa na serikali kwa mwezi.
Mdogo wangu kanipa details:-
-Mshahara nasikia ni zaidi ya laki 4
-Posho ya kula laki 3
-Posho ya kunywea vinywaji laki 1 kila mwezi
hapo hapo wanalipiwa hela ya pango, kama una ujuzi pia utalipwa na kama upo upelelezi utalipwa hela ya mavazi na upelelezi(kama sio 17% au 20%) ya mshahara.Huyo ni askari wa form four tu je,hapo ukijumuisha hapati laki 9 kwa mwezi? Akiingia lindo pia analipwa na escort analipwa.Polisi ni kazi nzuri tu tofauti na inavyobezwa na wanasiasa.
Ukiwa trafik ndo akili kumkichwa[emoji1]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndgu zangun Tanzania tuna jeshi moja tu basi nalo ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ( JWTZ) hayo mengn yoote ni idara tu mfano police na uhamiaj ni idara ya mambo ya ndani.Bado sijagusia Tanapa kuna kila mwenye ngazi ya elimu kuanzia form 4 mpka kuendelea ambapo kuna mpka ma botanist ...watu wa wildlife nakadhalika wamesoma
Hilo pia ni jeshi ndio nakufundisha jeshi sio polisi, magereza , uhamiaji na zimamoto
Rudi darasani maana we kichwani ndio mweupe
Na jwtz ipo wizara gani? Au ni wizara ya jwtz[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndgu zangun Tanzania tuna jeshi moja tu basi nalo ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ( JWTZ) hayo mengn yoote ni idara tu mfano police na uhamiaj ni idara ya mambo ya ndani.
Naungana nawewe mkuu[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndgu zangun Tanzania tuna jeshi moja tu basi nalo ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ( JWTZ) hayo mengn yoote ni idara tu mfano police na uhamiaj ni idara ya mambo ya ndani.
wizara ya ulinziNa jwtz ipo wizara gani? Au ni wizara ya jwtz
Sawa nilijua kuna wizara ya jeshi la wananchi jwtz, so kumbe jwtz ipo chini ya wizara ya ulinzi.wizara ya ulinzi
Pamoja snNaungana nawewe mkuu[emoji23]
Jw iko chini ya wizara ya ulinzi. Ndio maana waziri wa ulinzi anaweza vaa kombati la jeshi akipendelea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa nilijua kuna wizara ya jeshi la wananchi jwtz, so kumbe jwtz ipo chini ya wizara ya ulinzi.
Okay nimekuelewa kiongozi.
Uhamiaji ilikuwa ni idara hvi karibuni ndio imepewa hadhi ya Jeshi,[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndgu zangun Tanzania tuna jeshi moja tu basi nalo ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ( JWTZ) hayo mengn yoote ni idara tu mfano police na uhamiaj ni idara ya mambo ya ndani.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndgu zangun Tanzania tuna jeshi moja tu basi nalo ni JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA ( JWTZ) hayo mengn yoote ni idara tu mfano police na uhamiaj ni idara ya mambo ya ndani
Jwtz ipo chini ya wizara ya ulinzi, same applied na polisi, uhamiaji, magereza etc zipo chini ya wizara ya mambo ya ndani.
Au uwezo wangu ni mdogo kupambanua mambo ya kikatiba yenye uelewa mpana, naomba msaada hapa kiongozi.
Tangazo lao la kazi umeliona lknUhamiaji ilikuwa ni idara hvi karibuni ndio imepewa hadhi ya Jeshi,
Ko unachobisha hapo nini mbna sijakuelewa,Tangazo lao la kazi umeliona lkn View attachment 2448651
Kaki ni kama official wear...Hivi nauliza kwenye vazi la Askari polisi wale wanaovaa rangi ya kaki na wale wanaovaa kijani wanatofauti gani au ni tofauti ya vitengo tu?
Uhamiaji wengi wanasema imepewa hadhi ya kuwa Jeshi lakini kwenye tangazo lao la Ajira mwaka huu Desemba bado wameandika "IDARA YA UHAMIAJI"Uhamiaji ilikuwa ni idara hvi karibuni ndio imepewa hadhi ya Jeshi,
Sas km wenyewe wamesema idara ya uhamiaji wew Nani uliite jeshi? Jeshi ni moja tu mengn hayo ni maidara tuUmeniwahi tu kidogo