Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wew jeshi ni JW hata km unaona wanabeba smg 56 km police lkn hawa JW wana mafunzo makubw sn ukilinganisha na hao wengn wanaobeba hzo silaha.
Wapi weupe tu mtakuja backwa kwa woga wa uniform wanapigika sana mitaani hao
 
Polisi maombi yako unaelekeza kwa nani maana naona wanasema barua zote za application ziandikwe kwenda kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania au tubadilishe tuandike Mkuu wa Idara ya Polisi Tanzania?

Msaada tutani [emoji1241]
Ndio mim nabadirisha
 
Majeshi yapo mengi kila jeshi lina medani yake,ukisema jeshi la magereza inafahamika wanahusika wa nini, Jeshi la police inafahamika, Jeshi la uhamiaji inafahamika,ukisema jeshi la wananchi pia inaeleweka ndio jeshi mama kubwa sasa wewe kilaza wa kupembenua mambo unakuja potosha watu humu
 
Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.

Chanzo: ITV habari
 
Tafuta huu Uzi pia upo
Screenshot_2022-12-16-12-58-01-65_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Mimi nachoomba nipate tu mchongo huko uhamiaji... So km sijui ni jeshi, sijui taasisi, sijui polisi mimi binadsi sijali hayo mambo!!! Cha muhimu niishi tu mwisho wa mwez[emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom