Kishnajr
JF-Expert Member
- Jun 15, 2022
- 407
- 392
Hii habari imetoka lini?Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu
Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.
Chanzo: ITV habari