Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nishakwambia hadi tarehe na mwezi uhamiaji ilipo rasimishwa kuwa Jeshi bado unataka kubishana,we ni mweupe Sana
Sawa,ulisem mwaka jana mwezi wa 7,sas hili tangazo la kazi limetoka mwezi huu 2022 mbna bdo wameita idara na sio jeshi? Kwamba walisahau kuwa limerasimishw kuw jeshi?
Mim ukinipa jibu kwa hapo tu nitaungana na ww ndgu.leta jibu
Screenshot_20221216-121217.jpg
 
Sawa,ulisem mwaka jana mwezi wa 7,sas hili tangazo la kazi limetoka mwezi huu 2022 mbna bdo wameita idara na sio jeshi? Kwamba walisahau kuwa limerasimishw kuw jeshi?
Mim ukinipa jibu kwa hapo tu nitaungana na ww ndgu.leta jibuView attachment 2449010
Hilo ni Tangazo tu kwaiyo hautaki kukubali kisa ni hiko tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndugu yangu sahivi uhamiaji ni Jeshi achana hiyo Sehem apo kwenye Tangazo, Uhamiaji inakambi yakutolea mafunzo kama majeshi mengine na wapo chini ya amri ya amiri Jeshi mkuu
 
Walotoa tangazo hilo ni w2 wa uhamiaji tna kamishna generali wa uhamiaji. unataka kuniambia kwamba wewe unajua zaidi kuliko wao walioko kwny hyo idara?[emoji1787]
 
Ndugu yangu sahivi uhamiaji ni Jeshi achana hiyo Sehem apo kwenye Tangazo, Uhamiaji inakambi yakutolea mafunzo kama majeshi mengine na wapo chini ya amri ya amiri Jeshi mkuu
Wenywe wameiita idara wew nan useme jeshi? Niachane na tangazo kivp sas
 
Hivi polisi wale wa degree wanaandika barua wanapeleka posta au wanatuma kwa email?
mkuu moja ya kufaulu mishe zako nikuzingatia tangazo hv umelisoma kweli? mkuu tuma kwa email ambayo iko attached pale pasipo kusahau ukijaza kiambatanisho B usikiscan .
 
Back
Top Bottom