Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Bunge limefanya mabadiliko madogo ya sheria ya idara ya Uhamiaji ambapo sasa litakuwa ni jeshi kamili litakalowajibika moja kwa moja kwa Amiri Jeshi Mkuu

Waziri wa Mambo ya Ndani mh Simbachawene amesema mabadiliko hayo yanalenga kuongeza nidhamu kwa Idara ya Uhamiaji ambapo sasa litajiendesha kwa Amri.

Chanzo: ITV habari
Hii habari imetoka lini?
 
Mimi nachoomba nipate tu mchongo huko uhamiaji... So km sijui ni jeshi, sijui taasisi, sijui polisi mimi binadsi sijali hayo mambo!!! Cha muhimu niishi tu mwisho wa mwez[emoji23]
Baba tyr ushaapply?
 
Mimi nachoomba nipate tu mchongo huko uhamiaji... So km sijui ni jeshi, sijui taasisi, sijui polisi mimi binadsi sijali hayo mambo!!! Cha muhimu niishi tu mwisho wa mwez[emoji23]
Tupo pamoja mkuu,ndio jamaa namuuliza kwani kuna shida yoyote [emoji1787][emoji1787]
 
Toka mwaka jana
September 7
Ok,sas usipojiuliza ki2 kimepitishwa mwaka jana mwezi wa 7 huko na mwezi huu wametoa ajira lkn wameiita idara badala ya jeshi.hujiulizi tu kaka? Km ingekuwa kweli ishapiazimiwa hyo hapo ungeona pamendkw jeshi,uwe unaelewa bas wew chicken head
 
Unabishana na uhalisia,mpelekee shemej yako simu yake kwanza [emoji28]
 
Ubishi wa kijinga ambao hauna mantiki huu. At least argue something constructive rather than showing how empty-headed u are.

Back
Top Bottom