mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
bila jkt utarudishwa. acha kubuni mkuuMbna wapo wanaopiga kozi bila kupita jkt,kikubwa unamjua nani!!.bas ulivo zuzu utaleta ubishi kwny hili
Unajua kubishana bila hoja nishakupa hadi taarifa rasmi ilipoidhinishwaTulia na wewe hujuw lolote
Sawa,ulisem mwaka jana mwezi wa 7,sas hili tangazo la kazi limetoka mwezi huu 2022 mbna bdo wameita idara na sio jeshi? Kwamba walisahau kuwa limerasimishw kuw jeshi?Nishakwambia hadi tarehe na mwezi uhamiaji ilipo rasimishwa kuwa Jeshi bado unataka kubishana,we ni mweupe Sana
Hilo ni Tangazo tu kwaiyo hautaki kukubali kisa ni hiko tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa,ulisem mwaka jana mwezi wa 7,sas hili tangazo la kazi limetoka mwezi huu 2022 mbna bdo wameita idara na sio jeshi? Kwamba walisahau kuwa limerasimishw kuw jeshi?
Mim ukinipa jibu kwa hapo tu nitaungana na ww ndgu.leta jibuView attachment 2449010
Mkuu bora utulie tu,huu ulimwengu una w2 wa kila aina unapoona wew kuw haiwezekan w2 wanapenya hapohapo.bila jkt utarudishwa. acha kubuni mkuu
Ndugu yangu sahivi uhamiaji ni Jeshi achana hiyo Sehem apo kwenye Tangazo, Uhamiaji inakambi yakutolea mafunzo kama majeshi mengine na wapo chini ya amri ya amiri Jeshi mkuuSawa,ulisem mwaka jana mwezi wa 7,sas hili tangazo la kazi limetoka mwezi huu 2022 mbna bdo wameita idara na sio jeshi? Kwamba walisahau kuwa limerasimishw kuw jeshi?
Mim ukinipa jibu kwa hapo tu nitaungana na ww ndgu.leta jibuView attachment 2449010
Walotoa tangazo hilo ni w2 wa uhamiaji tna kamishna generali wa uhamiaji. unataka kuniambia kwamba wewe unajua zaidi kuliko wao walioko kwny hyo idara?[emoji1787]Hilo ni Tangazo tu kwaiyo hautaki kukubali kisa ni hiko tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wenywe wameiita idara wew nan useme jeshi? Niachane na tangazo kivp sasNdugu yangu sahivi uhamiaji ni Jeshi achana hiyo Sehem apo kwenye Tangazo, Uhamiaji inakambi yakutolea mafunzo kama majeshi mengine na wapo chini ya amri ya amiri Jeshi mkuu
Kwani zambi kuwa idaraWalotoa tangazo hilo ni w2 wa uhamiaji tna kamishna generali wa uhamiaji. unataka kuniambia kwamba wewe unajua zaidi kuliko wao walioko kwny hyo idara?[emoji1787]
Hujui kitu kaa kimyaWenywe wameiita idara wew nan useme jeshi? Niachane na tangazo kivp sas
Umesoma ila haujaelimikaWalotoa tangazo hilo ni w2 wa uhamiaji tna kamishna generali wa uhamiaji. unataka kuniambia kwamba wewe unajua zaidi kuliko wao walioko kwny hyo idara?[emoji1787]
Sio dhambi sas wew unacholazimisha iwe jeshi nin wkt unajua ni idara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani zambi kuwa idara
Leta ushahid km nimesomaUmesoma ila haujaelimika
We jamaa ni kiazi [emoji28][emoji28]Sio dhambi sas wew unacholazimisha iwe jeshi nin wkt unajua ni idara[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe umeishia la darasa la Saba DLeta ushahid km nimesoma
mkuu moja ya kufaulu mishe zako nikuzingatia tangazo hv umelisoma kweli? mkuu tuma kwa email ambayo iko attached pale pasipo kusahau ukijaza kiambatanisho B usikiscan .Hivi polisi wale wa degree wanaandika barua wanapeleka posta au wanatuma kwa email?
Kwahyo na barua unaiscan?mkuu moja ya kufaulu mishe zako nikuzingatia tangazo hv umelisoma kweli? mkuu tuma kwa email ambayo iko attached pale pasipo kusahau ukijaza kiambatanisho B usikiscan .
barua ,vyeti na vithibitisho vyote una scan na vizuri ukiscan in one pdf mkuuKwahyo na barua unaiscan?
Samahani mkuu na kile kiambatanisho B unakiattach kwenye one pdf ya vyeti? Au unakituma chenyewe?barua ,vyeti na vithibitisho vyote una scan na vizuri ukiscan in one pdf mkuu