Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Naomba taarifa vijana Dar Usail watafanya lini!?
Dar ni mkoa mgumu sana kwa kweli kwa mtu kama huna connection kupenya(sikukatishi tamaa lakini) ila Dar niijuavyo ah watoto wa baba kanituma ni wengi sana,heri ukaombee nafasi huko Kigoma,Rukwa,Katavi watu mwamko bado ni mdogo ila siyo Dar,Arusha,Mwanza,Iringa,Mbeya,Morogoro,Pwani,Dodoma nk..

Usishangae wa Dar wakaitwa kimya kimya.
 
Mkuu form six wanahitajika kiasi gani
 
Akuona mtaalam unafanya Analyst job
 
Kama nafasi ni zaidi ya 3200 na elimu kuanzia astashahada mpaka shahada hawazidi 200 ina maana kidato cha nne na sita watakuwa zaidi ya 3000.
Kweny tangazo wamesema 173 kwa form six .hii kijeshi ni kiasi gani
 
Hapo nimekusoma Kiongozi
 
Mkuu hv uhamiaji wao utaratib wao upo wa kujiunga upo vipi??
 
Daah bora tufanyir mikoani tuu kwakweli
 
Kama nafasi ni zaidi ya 3200 na elimu kuanzia astashahada mpaka shahada hawazidi 200 ina maana kidato cha nne na sita watakuwa zaidi ya 3000.

Naombeni kuuliza kuna jamaa ana diploma alituma maombi posta ila zile document zake i.e vyeti hakuzibana na pini kwa pamoja et inaweza leta shida..??
 
Naombeni kuuliza kuna jamaa ana diploma alituma maombi posta ila zile document zake i.e vyeti hakuzibana na pini kwa pamoja et inaweza leta shida..??
Yani unatuma vyeti na barua hujazibana kwa pamoja hauko siliasi mkuu
 
Kuanzia Leo jioni,kesho watu wawe online 24/7 ili kama kuna update zozote watu wazipate hapa maana naona huu uzi una wachangiaji wengi sana wazuri kama Choo Cha Kulipia na wachangiaji wengine m/mungu awabariki sana kwa kutupa hizi RONJA maana asilimia 80+ ronja zinaukweli ndani yake kijeshi
 
Mkuu hv uhamiaji wao utaratib wao upo wa kujiunga upo vipi??
Uhamiaji hawana tofauti na PT mwaka juzi ndiyo mara ya mwisho kuajiri na kozi yao walipigia CU Kimbini JKT.

Walichukua vijana waliopitia JKT wenye Shahada na Stashahada za Juu ila wao wanachukua sana hizi kozi za social science sana.

Ila kwa kuwa sasa Uhamiaji limekuwa jeshi kamili lazima mwaka huu waajiri askari wengi sana kama idadi hii ya PT ili wakidhi vigezo vya kuitwa Jeshi kweli.
 
Hata diploma hua wanaajiri kwa upande wa uhamiaji..
 
Kuna issue gani mkuu..mbona wasema kuanzia leo tuwe online
 
Kuna issue gani mkuu..mbona wasema kuanzia leo tuwe online
Muda wowote SACP,msemaji wa jeshi la polisi atatoa GO AHEAD ya usaili kwenye tovuti yao na kupitia kwa vyombo vya habari ila kuna uwezekano wiki ijayo watu wakaanza usaili kwa mikoa mingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…