Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Wakuuu!
Hivii kwa mkoa wa Tanga hizo ofisi za kamanda mkuu wa polisi mkoa zipo wapii?

Mm nipo zangu mashamban huko Lushoto nimefika hata sina muda mrefu na wenyeji wanguu hawaeliii..

Anaejua anichuze iliii nipelekee hzoo barua zngu
 
yaah mkuu nakumbuka mafinga jkt,walichukuaga mujibu waliosoma sayansi na wenye performance ya juu zari nikalikosa . nimehitimu bdo napambania niingie chomboni awamu hii
Kikubwa ni kutokukata tamaa mpaka kielewe as long as umri haujatutupa mkono baadhi.

Round hii kila muhitaji wa uzi huu apate amen.
 
Kikubwa ni kutokukata tamaa mpaka kielewe as long as umri haujatutupa mkono baadhi.

Round hii kila muhitaji wa uzi huu apate amen.
hawa uhamiaji huwa awa cheleweshi kbsa.nakumbuka post za mwaka jana kuna mwanetu alijua tangazo la kuitwa kazini linatoka lini la uhamiaji. kifupi wakuu dua na connection ndio zitafanya tuwepo kwenye pdf
 
sasa apo kwenye connection ndo changamoto mkuu sjui tunazitoa wap asee
 
sasa apo kwenye connection ndo changamoto mkuu sjui tunazitoa wap a
unajua immigration ni nyeti sana so kutinga sio kirahisi tofauti na magereza wana kibao wanaingia. mm tu magereza sijawahi kuipenda hta kuaplai sijawahi ila ile wahuni wengi wametoboa kwenda kiwira
 
unajua immigration ni nyeti sana so kutinga sio kirahisi tofauti na magereza wana kibao wanaingia. mm tu magereza sijawahi kuipenda hta kuaplai sijawahi ila ile wahuni wengi wametoboa kwenda kiwira
Kuna mwana ana bro ake jwtz uko alikua ananiambia salary za immigration na tpdf hazitofautiani sana huenda ndomana pagumu kutoboa
 
unajua immigration ni nyeti sana so kutinga sio kirahisi tofauti na magereza wana kibao wanaingia. mm tu magereza sijawahi kuipenda hta kuaplai sijawahi ila ile wahuni wengi wametoboa kwenda kiwira
Uku imigration unaweza ombea ata cheti cha six
 
sasa apo kwenye connection ndo changamoto mkuu sjui tunazitoa wap asee
Yaani hapo ndio balaa, kuipata. Nikikutana na polis mmoja hivi akaniuliza umeomba nafasi maana alijua mm ni muhitimu wa chuo kwa namna tulivyokutana pale. Nikamwambia yeah nimeziona akanishauri Kaombe maana saivi ajira ni ngumu ila ungekuwa na mtu ingekuwa rahisi zaidi lkn usiache kujaribu kwasababu huwezi jua. Yeye sasa[emoji3] Akaniambia mm nilitafuta kazi weeeh sikupataga sasa zikatangazwa za jeshi nilikuwa na mtu nikapigiwa simu nikaenda tena huku nalindwa[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nikasema duuh!!! Nikaingia kozi mpk sasa nipo kazini na ni kijana tu. Nikaona watu tunauwezo wa kurahisishiana sana tofauti na hapo ni DUA TU NS KUDRA ZA MWENYEZI MUNGU zikitimia na ikiwa imeandikwa basi lazima tutapata tu, Tusikate tamaa tuendeleeni kujaribu kwa nafasi zetu...
 
Kuna mwana ana bro ake jwtz uko alikua ananiambia salary za immigration na tpdf hazitofautiani sana huenda ndomana pagumu kutoboa
scale za tpdf ni kubwa kuliko immigration.ila immigration ina in and out kibao na mazingira ya kazi mazuri mkuu wangu ila salary scale zina range sawa na majeshi mengine ya wizara ya mambo ya ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…