Don Vill
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 2,249
- 5,674
Poa ,vipi lakini hii ya Ems na njia ya kawaida ,uharaka au muda wa kufikisha mzigo kwenye destination inatofautiana siku ngapi ?EMS Tsh 15000/= Kawaida sijui buku
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa ,vipi lakini hii ya Ems na njia ya kawaida ,uharaka au muda wa kufikisha mzigo kwenye destination inatofautiana siku ngapi ?EMS Tsh 15000/= Kawaida sijui buku
pricing determine value and efficiency- EMS mzigo wanapeleka mpaka ofisini kwa haraka. njia ya kawaida itawalazimu polisi ama uhamiaji mzigo wa ufate posta.Poa ,vipi lakini hii ya Ems na njia ya kawaida ,uharaka au muda wa kufikisha mzigo kwenye destination inatofautiana siku ngapi ?
Mwaka jana uhamiaji deadline ilikuw mwishon mwa December pia...wakaita watu usaili dodoma mwezi wa pili tarehe mbili. Huwa ni takriban mwezi mmoja ndio huita watu interview. na mwishon mwa mwezi wa pili watu wakaanza kureport makambini. Natamani kujua nature ya mafunzo ya uhamiaji sijapata bado wa kunipa lonja.GOD Awe na sisi
mkuu uhamiaji huwa soon after deadline. polisi tutasubiria zaid ya miezi miwili hpoo
GOD Awe na sisi
mkuu uhamiaji huwa soon after deadline. polisi tutasubiria zaid ya miezi miwili hpoo
uhamiaji post za january 1 mwaka huu deadline ya application ilikua trh 14, kuita usahili wakaita trh 28 january ambayo sawa na wki mbili mkuuMwaka jana uhamiaji deadline ilikuw mwishon mwa December pia...wakaita watu usaili dodoma mwezi wa pili tarehe mbili. Huwa ni takriban mwezi mmoja ndio huita watu interview. na mwishon mwa mwezi wa pili watu wakaanza kureport makambini. Natamani kujua nature ya mafunzo ya uhamiaji sijapata bado wa kunipa lonja.
Basi wako chap sanauhamiaji post za january 1 mwaka huu deadline ya application ilikua trh 14, kuita usahili wakaita trh 28 january ambayo sawa na wki mbili mkuu
[emoji28][emoji28]utajilaMwaka uishe tu yani mtaani nimepachoka Sana,naona siku ya kwenda kozi nitakuwa wale wa kwanza kwanza [emoji28]
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
Shida uku sitambuliki na sina details zozote za Serikali ya kijijimkuu kwann usitumie utambulisho wa kijiji ulipo then uende posta ukatume kawaida ama kwa EMS?
Kaka ulivyouliza hilo swali..una imani kubwa sana aiseNa polisi je kozi itaweza anza lini chief? Maana daah
Kaka Ukiitwa kote,utaenda wap usaili?Daaah hivi kwa sisi ambao tupo vijijini kwenye vibarua nawaza nikipata barua ya mwenyekiti wa mtaa naotokea dar na kama nikimaliza kuandika niisafirishe dar ndo wanipelekee itakuwaje?
Kama ni polisi hawajataka barua ya utambulishoDaaah hivi kwa sisi ambao tupo vijijini kwenye vibarua nawaza nikipata barua ya mwenyekiti wa mtaa naotokea dar na kama nikimaliza kuandika niisafirishe dar ndo wanipelekee itakuwaje?
Kaka ulivyouliza hilo swali..una imani kubwa sana aise
mtaa unawaka moto balaaMwaka uishe tu yani mtaani nimepachoka Sana,naona siku ya kwenda kozi nitakuwa wale wa kwanza kwanza [emoji28]
Sent from my CPH2325 using JamiiForums mobile app
M nimetumia Ems mku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora bora polisi, mana polisi wanatoaga nafasi nyingi kidogo.. Uhamiaji nafasi zao ni chache kwahyo hata probability ya kukosa ni kubwa[emoji23]Kaka Ukiitwa kote,utaenda wap usaili?
Ndio nyie barua zenu zinapelekwa moja kwa moja zikiwa kwenye bahasha maalumu [emoji3]M nimetumia Ems mku[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu uhamiaji pekee inagusa karibia 40000 hvi ukituma kwa EMS. kopies za vyeti,muhuri wa mahakama,Passport,utambulisho wa serikali za mtaa,nauli za hapa na pale +medical report attachment. na ukitoa kaladi vyeti ndio kabisaaMi nawaza itakuwa labda polisi wamekataa barua kutuma posta
Kwa sababu labda barua wazichambue huko huko mikoani ndio ziende Dodoma maana sio kila aliyetuma maombi ataitwa
Au hawataki kwenda posta kukusanya barua bado warudi tena waanze kuzichambua hivyo hawataki usumbufu
Ila hatuwezi jua ila nimeshangaa tu huo utaratibu ni mzuri lakini miaka ijayo kwa majeshi mengine wafanye hivyo umewapunguzia gharama maana ingewatoka kama 30, 000 kwa wale wa ems kwa uhamiaji + polisi
Duuh aiseem
mkuu uhamiaji pekee inagusa karibia 40000 hvi ukituma kwa EMS. kopies za vyeti,muhuri wa mahakama,Passport,utambulisho wa serikali za mtaa,nauli za hapa na pale +medical report attachment. na ukitoa kaladi vyeti ndio kabisaa