Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

mfwende amekua akifanya kazi nzuri sana kwenye huu uzi.

Amekua akihabarisha na kutoa nondo kadhaa kuhusiana na majeshi yetu.

Kiukweli anaupiga mwingi sana.

Namuombea kwa mola muumba mbingu na nchi awe kati ya watu ambao watakao pata bogi la ajira.

mfwende nakutaribia utakua mmoja wa watu watakaoapa pale kwenye uwanja wa ushirika moshi.inshallah!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thank u champ. jambo jema tukitinga wotee wapambanaji
 
n
mfwende amekua akifanya kazi nzuri sana kwenye huu uzi.

Amekua akihabarisha na kutoa nondo kadhaa kuhusiana na majeshi yetu.

Kiukweli anaupiga mwingi sana.

Namuombea kwa mola muumba mbingu na nchi awe kati ya watu ambao watakao pata bogi la ajira.

mfwende nakutaribia utakua mmoja wa watu watakaoapa pale kwenye uwanja wa ushirika moshi.inshallah!!.

Sent using Jamii Forums mobile app
ccp fresh ila damu yangu ipo immigration
 
Back
Top Bottom