mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
m
mkuu uhamiaji pekee inagusa karibia 40000 hvi ukituma kwa EMS. kopies za vyeti,muhuri wa mahakama,Passport,utambulisho wa serikali za mtaa,nauli za hapa na pale +medical report attachment. na ukitoa kaladi vyetiMi nawaza itakuwa labda polisi wamekataa barua kutuma posta
Kwa sababu labda barua wazichambue huko huko mikoani ndio ziende Dodoma maana sio kila aliyetuma maombi ataitwa
Au hawataki kwenda posta kukusanya barua bado warudi tena waanze kuzichambua hivyo hawataki usumbufu
Ila hatuwezi jua ila nimeshangaa tu huo utaratibu ni mzuri lakini miaka ijayo kwa majeshi mengine wafanye hivyo umewapunguzia gharama maana ingewatoka kama 30, 000 kwa wale wa ems kwa uhamiaji + polisi
kutafuta kazi ni kazi balaa cost kama zoteDuuh aisee