Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Natamani Mkuu Ila Muda Uko Limited Sana Ni Mara Chache Sana Kwa Mwezi Nakuwa Huku Kila La Kheri Wote

Angalizo Matapeli Ni Wengi Sana This Time Around Usije Ukalizwa Kizembe

Marry Christmas And Happy New Year.
Thank you champ
 
Watakaopata uhamiaji watatoboa fasta mno jamaa mishahara yao ni mikubwa kulipo polisi.

Nimeambiwa.
 
Natamani Mkuu Ila Muda Uko Limited Sana Ni Mara Chache Sana Kwa Mwezi Nakuwa Huku Kila La Kheri Wote

Angalizo Matapeli Ni Wengi Sana This Time Around Usije Ukalizwa Kizembe

Marry Christmas And Happy New Year.
Boss kama unaweza ungetupa
nimekusoma mkuu,basi safarii hii huenda kutoa majina ya usahili watakua mapema sana kma uhamiaji, ama zikapigwa wakati mmoja
Hapo ndio kasheshe maana tutashindwa kujigawa kabisa.
 
Ndugu yangu kigezo kikubwa ni JKT hao uliona wanapiga bila JKT chunguza nguvu iliyoko nyuma yao nawasilisha

NB kama hujapita jkt na huna connection nzuri usipoteze muda kuomba
Kwel ndgu lzm nguvu kuuubwaaa itumike
 
Back
Top Bottom