Kishnajr
JF-Expert Member
- Jun 15, 2022
- 407
- 392
Bachelor au siio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bachelor au siio
Natamani Mkuu Ila Muda Uko Limited Sana Ni Mara Chache Sana Kwa Mwezi Nakuwa Huku Kila La Kheri Wote
Angalizo Matapeli Ni Wengi Sana This Time Around Usije Ukalizwa Kizembe
Marry Christmas And Happy New Year.
Ambatanisha. Nanda hospital ya serikali. Andaa hela si chini ya 10000.Uhamiaji na Polisi Hawana form yao maalumu tofauti na zima moto.So yoyote utakayoipeleka itakubaliwa ila ioneshe utimamu wa mwili na akili.Wakuu form za daktari zinapatikana vipi na ni lazima kuambatnisha kwa uhamiaji na polisi.
huwezi jua mkuuDaah kwhyo sie tulioomba uhamiaji na cheti z2 za ualimu ndio basi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lkn si mmesema kigezo ni gamba wajomba au
Daaah Mungu atufanyie wepes maan ni shida snhuwezi jua mkuu
Mbona polisi nafasi wameoneshaHvi kwanin walosoma ualimu wanatengwa kwny hzi kazi za majeshi?
jwtz wanachukua mkuu, wanashule zao mkwawa sec mafinga jkt pale maafisa wengi wao ma kepteni wanafundisha na walikua peace kinoma na sisi mujibuHvi kwanin walosoma ualimu wanatengwa kwny hzi kazi za majeshi?
Gamba la Jkt c unalo??Daah kwhyo sie tulioomba uhamiaji na cheti z2 za ualimu ndio basi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Lkn si mmesema kigezo ni gamba wajomba au
Ualimu Ni Taasisi Kubwa Inayojitegemea kama majeshi napo pia pana uhaba ndio maana hawachukui san kada hiyoHvi kwanin walosoma ualimu wanatengwa kwny hzi kazi za majeshi?
Kama kawa baba gamba ninalo uhakika.nililisotea sn mpk nikalinyakua mzeeGamba la Jkt c unalo??
Utaitwa usailiKama kawa baba gamba ninalo uhakika.nililisotea sn mpk nikalinyakua mzee
Daah police sikuangalia sn mie akili yangu ililala uhamiaji tuMbona polisi nafasi wameonesha
Ujue sku zote maofisa wanakuwa peace sn tofauti na hawa maaskari,yan hawa askari noma sn kw kazi ka ovyoovyo [emoji28][emoji28]jwtz wanachukua mkuu, wanashule zao mkwawa sec mafinga jkt pale maafisa wengi wao ma kepteni wanafundisha na walikua peace kinoma na sisi mujibu
Hapo kashesheBoss kama unaweza ungetupa
Hapo ndio kasheshe maana tutashindwa kujigawa kabisa.
Ahaaa hapo umenena vzr kaka.Ualimu Ni Taasisi Kubwa Inayojitegemea kama majeshi napo pia pana uhaba ndio maana hawachukui san kada hiyo
Hapo kuomba tu isipigw sku mojHapo kasheshe