Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

How good hizi connection ziwe, askari wa kawaida, nyota 2 mpaka 3 na askari mkongwe..?? Hawa wanaweza fanya kitu..? Nina jamaa yangu nilisoma nae yupo huko uhamiaji now.
kikubwa yeye anajuana na nani kwenye mfumo . vyeo havi mati sana
 
Kuna feedback nimepewa na polisi niambatanishe kiambatanisho B na jkt nisiscan, mwenye kujua link ya kuingia ili nidownload niwatumie plz wakuu. ingawa mwanzo niliweka labda haikifika ile portion
Fafanua sijakuelewa
 
jwtz ajira zao hazitangazwi hadharan hivi,
ila military science hupiga kozi na wengne
Nalibaliana nawewe mkuu!! Hizo za tpdf sizan km wanatangazaga.!!! Na km mtu katoka uraian af kapata mtipidiii basi ujue ana mibuyu huyo[emoji28]
 
Hivi kuna watu mwaka jana hizi posts walituma maombi na hawakuitwa kwenye usaili wa awali? Hasa kwa walio na fani diploma, certificates na degree!
 
Back
Top Bottom