Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Hivi TISS inakuaje kule wazee napo mbona pagumu[emoji16]
tiss most hufanya vetting kupitia mtu aliye kule ndani ,akijiridhisha ana ku recommend kujiunga na team yao. so kabla ya yote wanapenda sana kujua background ya mtu ,pili tusichanganye wakuu coz kuna tofauti kati ya Tiss na investigation police japo majukumu yanaendana ila ni position mbili tofauti wakuu,nawasilisha.
 
Back
Top Bottom