mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
3000+Iliyopita ilikua ngapi mkuu idadi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
3000+Iliyopita ilikua ngapi mkuu idadi?
kikubwa yeye anajuana na nani kwenye mfumo . vyeo havi mati sanaHow good hizi connection ziwe, askari wa kawaida, nyota 2 mpaka 3 na askari mkongwe..?? Hawa wanaweza fanya kitu..? Nina jamaa yangu nilisoma nae yupo huko uhamiaji now.
Okay nimekusoma mkuuIssue ya connection haihitaji sana vyeo issue ni upate mtu wa jikoni tu hata kama PTE
Nambie kaka bro wako ndo yule corporal wa Rasilimali pale Ngome ambaye anaandaa majina na force number za kwenda kula kazi utakosekana hapo?Okay nimekusoma mkuu
Wasomi nyie wasumbufu sanaHii kali. Yaani division 1 na 2 hawatakiwi!! Hili jeshi wanajifahamu vizuri wakiongozwa na Zirro.
View attachment 1897216
MkuuPrint hiyo namba kisha attach
Fafanua sijakuelewaKuna feedback nimepewa na polisi niambatanishe kiambatanisho B na jkt nisiscan, mwenye kujua link ya kuingia ili nidownload niwatumie plz wakuu. ingawa mwanzo niliweka labda haikifika ile portion
Nalibaliana nawewe mkuu!! Hizo za tpdf sizan km wanatangazaga.!!! Na km mtu katoka uraian af kapata mtipidiii basi ujue ana mibuyu huyo[emoji28]jwtz ajira zao hazitangazwi hadharan hivi,
ila military science hupiga kozi na wengne
Kwahiyo tusiojibiwa ndo tushapigwa chini daahhAysee jana jeshi la polisi wamenijibu kwa Email
SahihiKutoboa maisha sio salary tu chief
[emoji23] [emoji23]Wadau hvi uhamiaji nako kuna chenja? Mie mlevi wa chenja balaaaaa tna zile za morale baba[emoji1787][emoji1787]
Hamna kama vitu vyako vimekamilika wewe tulia tuu mkuu tusubir selectionKwahiyo tusiojibiwa ndo tushapigwa chini daahh
Vp zipo chenja?[emoji23] [emoji23]
Sijajua wanaangalia nini aisee, mm niliweka cheti cha JKT ila kwenye email yao wanasema sijaweka cheti.Kwahiyo tusiojibiwa ndo tushapigwa chini daahh
Sawa mkuuSijajua wanaangalia nini aisee, mm niliweka cheti cha JKT ila kwenye email yao wanasema sijaweka cheti.
Nimereply waangalie cheti kipo kwenye PDF attached
Mimi niliitwaga kwenye usail uhamiaji!! Ila walinipiga chini... Nataka nijaribu safari hii!! Eeeh Mungu tufanyie wepesi safari hii[emoji24][emoji120]Hivi kuna watu mwaka jana hizi posts walituma maombi na hawakuitwa kwenye usaili wa awali? Hasa kwa walio na fani diploma, certificates na degree!
Certificate or degree!Mimi niliitwaga kwenye usail uhamiaji!! Ila walinipiga chini... Nataka nijaribu safari hii!! Eeeh Mungu tufanyie wepesi safari hii[emoji24][emoji120]