MOSHI UFUNDI
JF-Expert Member
- Nov 25, 2022
- 526
- 1,222
Tupe lonjaa wanasemajeAysee jana jeshi la polisi wamenijibu kwa Email
endelea kuwepo hpa mkuu kwa info zaidiThis tym hatapata
jah awe na sisi mkuuYani huko mzee dah napaelewa.
Acha kuwatia watu mteru,akuna kitu kma hichoAysee jana jeshi la polisi wamenijibu kwa Email
Natamani Mkuu Ila Muda Uko Limited Sana Ni Mara Chache Sana Kwa Mwezi Nakuwa Huku Kila La Kheri Woteendelea kuwepo hpa mkuu kwa info zaidi
Thank you champNatamani Mkuu Ila Muda Uko Limited Sana Ni Mara Chache Sana Kwa Mwezi Nakuwa Huku Kila La Kheri Wote
Angalizo Matapeli Ni Wengi Sana This Time Around Usije Ukalizwa Kizembe
Marry Christmas And Happy New Year.
Ningeweka screenshot hapa ila haiwezekani labda ndio ungeamini....Acha kuwatia watu mteru,akuna kitu kma hicho
ni issue ya kawaida tu wameniambia ni attach namba ya nida mimi nlisahau kuwekaTupe lonjaa wanasemaje
Kwan kwenye kiambatanisho B hukuweka?ni issue ya kawaida tu wameniambia ni attach namba ya nida mimi nlisahau kuweka
hide jina then attach hpa tuone kama pana ukweli mkuuni issue ya kawaida tu wameniambia ni attach namba ya nida mimi nlisahau kuwek
Kutoboa maisha sio salary tu chiefWatakaopata uhamiaji watatoboa fasta mno jamaa mishahara yao ni mikubwa kulipo polisi.
Nimeambiwa.
nili scan tatzo ndio lilianza hapoKwan kwenye kiambatanisho B hukuweka?
Ni kweliWatakaopata uhamiaji watatoboa fasta mno jamaa mishahara yao ni mikubwa kulipo polisi.
Nimeambiwa.
nimekusoma mkuu,basi safarii hii huenda kutoa majina ya usahili watakua mapema sana kma uhamiaji, ama zikapigwa wakati mmojahii baada ya kutuma hii wakaniambia niweke kitambulisho cha nida pia
Boss kama unaweza ungetupaNatamani Mkuu Ila Muda Uko Limited Sana Ni Mara Chache Sana Kwa Mwezi Nakuwa Huku Kila La Kheri Wote
Angalizo Matapeli Ni Wengi Sana This Time Around Usije Ukalizwa Kizembe
Marry Christmas And Happy New Year.
Hapo ndio kasheshe maana tutashindwa kujigawa kabisa.nimekusoma mkuu,basi safarii hii huenda kutoa majina ya usahili watakua mapema sana kma uhamiaji, ama zikapigwa wakati mmoja
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Boss kama unaweza ungetupa
Hapo ndio kasheshe maana tutashindwa kujigawa kabisa.
Kikosi gani hizi ronja zimesikika.?Bado naona tu simu zimeanza kupigwa
Bachelor wanakunja bei gani mkuu?Watakaopata uhamiaji watatoboa fasta mno jamaa mishahara yao ni mikubwa kulipo polisi.
Nimeambiwa.
Kwel ndgu lzm nguvu kuuubwaaa itumikeNdugu yangu kigezo kikubwa ni JKT hao uliona wanapiga bila JKT chunguza nguvu iliyoko nyuma yao nawasilisha
NB kama hujapita jkt na huna connection nzuri usipoteze muda kuomba