Ulikwama wapi mwanzo vigezo ulizidiwa au wapi??Mimi niliitwaga kwenye usail uhamiaji!! Ila walinipiga chini... Nataka nijaribu safari hii!! Eeeh Mungu tufanyie wepesi safari hii[emoji24][emoji120]
Tupe uzoefu wake ndugu saili zao zinakuwajeMimi niliitwaga kwenye usail uhamiaji!! Ila walinipiga chini... Nataka nijaribu safari hii!! Eeeh Mungu tufanyie wepesi safari hii[emoji24][emoji120]
Baba usaili wao unakuwaje?Mimi niliitwaga kwenye usail uhamiaji!! Ila walinipiga chini... Nataka nijaribu safari hii!! Eeeh Mungu tufanyie wepesi safari hii[emoji24][emoji120]
Nyie wanawataka sana mkajenge chuo bado kichangaCertificate or degree!
Maana mm nimeombea kwa ngazi ya degree (Eng)
Engineer kakaCertificate or degree!
Maana mm nimeombea kwa ngazi ya degree (Eng)
Wote Tulipiga pepa tu!! Pepa moja tu kwa fani zoteBaba usaili wao unakuwaje?
Ndio tumejaribu kakaNyie wanawataka sana mkajenge chuo bado kichanga
Ndio kakaEngineer kaka
Sikua nacheti!!! Niliattach transcript ya chuo tu.. Sijui ndo mana wakanipiga chini.. I don't know.Ulikwama wapi mwanzo vigezo ulizidiwa au wapi??
Kumbe wakiona vitu havijakamilika wanakutexts,chamsing watumie tena maombi tuSijajua wanaangalia nini aisee, mm niliweka cheti cha JKT ila kwenye email yao wanasema sijaweka cheti.
Nimereply waangalie cheti kipo kwenye PDF attached
Hivi fani ya uhasibu waliweka pale?Kama mtu ukisema una CPA (T) unakubalika? Au unakuwa overqualified
Safari hii unaenda hiyo ndio ilikuwa reasonSikua nacheti!!! Niliattach transcript ya chuo tu.. Sijui ndo mana wakanipiga chini.. I don't know.
Nimetuma upyaKumbe wakiona vitu havijakamilika wanakutexts,chamsing watumie tena maombi tu
Safi Sana,mana hata mimi nimetuma mara nyingi nyingi wakati natumaNimetuma upya
Daah dua kaka!! Mungu afanye wepesiSafari hii unaenda hiyo ndio ilikuwa reason
Ebu tuma screenshot tuone walivyokutexts hide taarifa zako lknNimetuma upya
AmiinDaah dua kaka!! Mungu afanye wepesi
Waliwauliza Nini mkuu.? Hiyo paper.Mi naamin wote tutaitwa tu na saivi unachet hawakuachi.Wote Tulipiga pepa tu!! Pepa moja tu kwa fani zote
chenja zitoke wapi baba nenda kale viyoyoziWadau hvi uhamiaji nako kuna chenja? Mie mlevi wa chenja balaaaaa tna zile za morale baba[emoji1787][emoji1787]