Tukipata kwann tuwanyime jamaniPia msiwe wachoyo lazima mtoe kitu plus connection
Mkuu tupe elimu kidogo kila uliyoitaja apo ukiacha ffu ambayo tunaijuaPamoja kaka....polisi kuna idara nyingi. Mkikaribia kumaliza mafunzo kamishen zinakuja kuchagua vijana wao...so mwisho wa siku unaweza ukaingia... Intel, au FFU, au forensic bureau(FB)...na zinginezo. Ila FB kwa polisi ndio naikubali sana
Hizo Ajira Mtapata sema namba za watu wakubwa muhimu Sana kuwa nazo.Tukipata kwann tuwanyime jamani
Sasa izo namba tunazitoa wapHizo Ajira Mtapata sema namba za watu wakubwa muhimu Sana kuwa nazo.
Sure mkuu,sema wengine tunatoka ktk mazingira ambayo wakubwa kuwa na namba zao ngumuHizo Ajira Mtapata sema namba za watu wakubwa muhimu Sana kuwa nazo.
Wewe hauna namba hata RPC wa mkoa wako au RC kaeni vizr na watuSasa izo namba tunazitoa wap
Wewe upo wapi?Sure mkuu,sema wengine tunatoka ktk mazingira ambayo wakubwa kuwa na namba zao ngumu
TangaWewe upo wapi?
Huna urafiki hata na Mbunge wako , sikufahamu hila wewe umesoma bila Shaka?Tanga
Huna urafiki hata na Mbunge wako , sikufahamu hila wewe umesoma bila
Ngumu sana mbunge kuwa karibu na raia ambaye hata sina undugu au ujiraniHuna urafiki hata na Mbunge wako , sikufahamu hila wewe umesoma bila Shaka?
Eti urafiki na mbunge ivi upo serious mkuuHuna urafiki hata na Mbunge wako , sikufahamu hila wewe umesoma bila Shaka?
Eti urafiki na mbunge ivi upo serious mkuu
Mzee tupe mauelewa ya kutosha..FB inakuaje kuajePamoja kaka....polisi kuna idara nyingi. Mkikaribia kumaliza mafunzo kamishen zinakuja kuchagua vijana wao...so mwisho wa siku unaweza ukaingia... Intel, au FFU, au forensic bureau(FB)...na zinginezo. Ila FB kwa polisi ndio naikubali sana
Kaka mambo yakifunguka huwa yanafunguka kweli kweli..kuna jamaa mmoja ni askari na pia anafanya kazi kwenye taasisi fulani ya umoja wa mataifa ..jamaa kule pia analipwa mchuzi mzuri tu na usisahau ana degree kazini anakula mchuzi wake mtamuTukipata kwann tuwanyime jamani
Kweli mkuu,Tuombe kheri mkuuKaka mambo yakifunguka huwa yanafunguka kweli kweli..kuna jamaa mmoja ni askari na pia anafanya kazi kwenye taasisi fulani ya umoja wa mataifa ..jamaa kule pia analipwa mchuzi mzuri tu na usisahau ana degree kazini anakula mchuzi wake mtamu
Mambo yakifunguka bwanaaa
Intel ni kifupi tu cha intelijensia- mambo ya upelelezi na hawa Mara nyingi huwakuti wakivaa gwanda...wao wanaishi kikawaida tu kukusanya taarifa zinazohusiana na mambo ya kihalifu. Huwa wana posho ya mavazi hawa coz kazi zao hawavai gwanda na hata ile low cut ya polisi na kunyoa ndevu wanaweza wasinyoe ili tu wasitambulike kirahisi.Mkuu tupe elimu kidogo kila uliyoitaja apo ukiacha ffu ambayo tunaijua
FB ni Forensic bureau. Inajihusisha na uchunguzi wa makosa ya jinai kwa njia za kisayansi. Humu utakutana na watu wenye utaalamu mbalimbali. Wataalamu wa finger print, wataalamu wa milipuko na mabomu(ballistics), wataalamu wa kuchunguza mabaki ya mifupa( anthropologists), wataalamu wa kugundua forged documents, chemical and poison experts, doctors wa kudetermine the cause of deaths zenye utata...nakadhalika.Mzee tupe mauelewa ya kutosha..FB inakuaje kuaje