mr kipengele
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 210
- 620
270KHivi Suma Jkt wanalipwa Bei gani kuna mtu aliniuliza jana nkashindwa kumjibu
wekeni madini hpa hpa wakuuNitafte pm
[emoji28][emoji3578]wekeni madini hpa hpa wakuu
daah zimeyeyuka mkuu hapa na target nije kwenu kichaka mibaHuko depo napatamani any time, watoe tu Majina hela za sensa zishakwisha 🥺
Hahahahaha, tunaenda kiongoz wangu ntakuwa mwenyeji wenu huku mkija,daah zimeyeyuka mkuu hapa na target nije kwenu kichaka miba
jah bless champ,safari hii tumoHahahahaha, tunaenda kiongoz wangu ntakuwa mwenyeji wenu huku mkija,
Safari hii kote kote tunapita tutaamua siye kuchagua tu mkuudaah zimeyeyuka mkuu hapa na target nije kwenu kichaka miba
Uhamiaji ilikuwa ni idara hvi karibuni ndio imepewa hadhi ya Jeshi,
pamoja mkuu wanguSafari hii kote kote tunapita tutaamua siye kuchagua tu mkuu
Ndiyo mkuu [emoji3578]Still bado ni paramilitary organizanition si full military kama jeshi la wananchi
Hivi mkuu ikitokea umepata mchongo mwingine, utaupotezea kusubiri majeshi haya aupamoja mkuu wangu
Mungu atatenda[emoji120]jana nimeona wale jamaa wa forest wamevaa gwanda na siraha wanazo wameshika mikaa na pikipiki, nikajisemea tuu soon litajiita jeshi la maliasili[emoji16]
Amin kiongoz ..neno la kishujaa sana kwetu ,imani yangu ni kubwa sana juu ya hiloSafari hii kote kote tunapita tutaamua siye kuchagua tu mkuu
Duuh hili jina nimelikumbuka nahisi kwenye ule Uzi WA Kula mademu kimasihara[emoji23].....hongera kwake aangalie asiwale wafungwa kimasihara sasaMwanangu kunguru wa Manzese alipata Magereza Tanzania.
Anasubiri aape tu ale tengo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akishaanza kuwa na uhakika wa mwisho wa mwezi atawala kimasikhara tuDuuh hili jina nimelikumbuka nahisi kwenye ule Uzi WA Kula mademu kimasihara[emoji23].....hongera kwake aangalie asiwale wafungwa kimasihara sasa
hapana champ.mm natafuta kazi inayo anza kukubali ndio hyo hyo naanza nayo afsa wanguHivi mkuu ikitokea umepata mchongo mwingine, utaupotezea kusubiri majeshi haya au