mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
mwaka wetu huu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jana nimeona wale jamaa wa forest wamevaa gwanda na siraha wanazo wameshika mikaa na pikipiki, nikajisemea tuu soon litajiita jeshi la maliasili[emoji16]
Achana naeYaani watu wengine basi tu. Ni wa kiume siyo mwanaume. Ngoja nitafute na kapicha kake nikapost,na wengine wamjue. Ila,kiukweli kaharibu sifa ya polisi nchi nzima
Hapana mkuu. Na mwingine atakaedeal nae ajihadhali,Achana nae
Hold on mkuu. Naangalia wapi ilipo pichaMlete hapa tunasubiria
Mbaba mhuni huyo hapoooMlete hapa tunasubiria
Mbaba mhuni hapooooMlete hapa tunasubiria
kafanyaje tena huyu mzeeMbaba mhuni huyo hapooo
Mbaba mhuni hapoooo
Kafanyaje kwani sijaelewa kabisa huyo mtu ulompost , habari nusu nusuMbaba mhuni huyo hapooo
Mbaba mhuni hapoooo
Je, unamfahamu? Ni askali polisi kituo cha Mwanza mjini, Nyamagana. Kama wahuni wengine,anatumia cheo chake kula pesa za watu, kwa ahadi ya kutozunguushwa kupata badhi ya vitambulisho,hasa TRA na PolisiKafanyaje kwani sijaelewa kabisa huyo mtu ulompost , habari nusu nusu
Ya wengine ambayo sina ushahidi wa kutosha siweki,la kwangu tu ndo nimewekadaah nkajua sijui kafanya tukio gan,hayo mambo kila sehemu yapo sio yeye tuu
zero content ni afadhali ukatoa picha yake maana ishu unayo msemea sio ajabu wala ya kushtusha kwa dunia hiiYa wengine ambayo sina ushahidi wa kutosha siweki,la kwangu tu ndo nimeweka
Kwa hiyo kwako unaona sahihi,unasapoti?! Je, kila upuuzi tuubaliki?zero content ni afadhali ukatoa picha yake maana ishu unayo msemea sio ajabu wala ya kushtusha kwa dunia hii
Kwa hiyo,labda tu ka ushauli kidogo. Upuuzi wa raia wa kawaida,tayari umeshawekewa kiti kituo cha polisi. Chai najua wanaomba na kwa kulazimisha. Ila, utapeli,ni moja wapo wa vigeze vya askari polisi muadirifu?daah nkajua sijui kafanya tukio gan,hayo mambo kila sehemu yapo sio yeye tuu
Kitambo sanaKunguru kaenda jeshi[emoji23]
Kwa hiyo,labda tu ka ushauli kidogo. Upuuzi wa raia wa kawaida,tayari umeshawekewa kiti kituo cha polisi. Chai najua wanaomba na kwa kulazimisha. Ila, utapeli,ni moja wapo wa vigeze vya askari polisi muadirifu?
Safari hii na wewe unatuagaMwaka Jana nilijikatia tamaa kabisa na haya majeshi ila this time mungu kanipa ujasiri mkubwa na shauku, naamini safari hii namimi mungu atanipa bahati ya kuwa mmoja wapo