Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Attachments

  • Screenshot_20221222-221935_1.jpg
    Screenshot_20221222-221935_1.jpg
    21.6 KB · Views: 12
Kafanyaje kwani sijaelewa kabisa huyo mtu ulompost , habari nusu nusu
Je, unamfahamu? Ni askali polisi kituo cha Mwanza mjini, Nyamagana. Kama wahuni wengine,anatumia cheo chake kula pesa za watu, kwa ahadi ya kutozunguushwa kupata badhi ya vitambulisho,hasa TRA na Polisi
 
daah nkajua sijui kafanya tukio gan,hayo mambo kila sehemu yapo sio yeye tuu
Kwa hiyo,labda tu ka ushauli kidogo. Upuuzi wa raia wa kawaida,tayari umeshawekewa kiti kituo cha polisi. Chai najua wanaomba na kwa kulazimisha. Ila, utapeli,ni moja wapo wa vigeze vya askari polisi muadirifu?
 
Kumpost hapa mkuu bado hakusolve lofoten.Kama una ushahidi mkuu kamreport ili achukuliwe hatua za kinidhamu na wakubwa zake huko.

Back
Top Bottom