Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

TUlipigwa kozi ngumu mujibu wa sheria mpaka maafande wakasema nyie mmeiva kuliko wale wa kujitolea miezi 6...maana wale wa kujitolea OP yetu wengi walikuja na maelekezo kwahyo kozi ililainishwa kidogo
Halfu bravo tulipigwa doso la maana halfu kwa kuongezea kuna siku tulidoji mabio..tulivyodakwa lile doso tulilopigwa ni hatari baada ya hapo nilijiona nimeiva sana aise
hahaaa waliwapa moyo tuu
 
D coy tulikula raha sna. wenzetu wnakula madoso cc tushafoleni na kulala mapemaa .
daah sisi hiyo danger coy ilikuwa na ma o,coplo wawili ni ma CDO wa 92 ,walikua hawapoi usiku had kuna kucha greenvest zipo vichwani hamna kuzivaa.japo na mimi nikakutana nao kwenye kombat karet [emoji16]nlitoboa kwa mbinde sana.
 
Back
Top Bottom