John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,207
- 2,593
Ulikuwa platoon ipi?mi nilikua D coy -mafinga operesheni tanzania ya viwanda .kamanda Msangi alitubeba sana. ila C coy walisoteshwa aibu kiasi kwamba walikua wnatamani wahamie kwetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulikuwa platoon ipi?mi nilikua D coy -mafinga operesheni tanzania ya viwanda .kamanda Msangi alitubeba sana. ila C coy walisoteshwa aibu kiasi kwamba walikua wnatamani wahamie kwetu
Shukran mkuu [emoji120]Kuna kosa Jingine nimelibaini ukiandika barua ya maombi ya kazi yoyote usiandike barua ndeefu mpaka inaboa weka content muhimu barua iwe fupi yenye kueleweka
Hahaha hatujaumbiwa kukaa benchi [emoji3578]kichaka miba & Ccp zamu yetu hii. ujio wetu utakua ni tishio ya dunia zaidi mafua yandege .hatujaumbiwa kukaa benchi kitaa coz aliye juu ni mwema kwa kila mmoja
Lakuzingatia Sana hili[emoji3578]Kuna kosa Jingine nimelibaini ukiandika barua ya maombi ya kazi yoyote usiandike barua ndeefu mpaka inaboa weka content muhimu barua iwe fupi yenye kueleweka
kombania ya moraliTukakiwashe Bravo Coy...
Hakuna Coy naipenda kama bravo na huwa ndio coy yenye madoso makali
hahaaa waliwapa moyo tuuTUlipigwa kozi ngumu mujibu wa sheria mpaka maafande wakasema nyie mmeiva kuliko wale wa kujitolea miezi 6...maana wale wa kujitolea OP yetu wengi walikuja na maelekezo kwahyo kozi ililainishwa kidogo
Halfu bravo tulipigwa doso la maana halfu kwa kuongezea kuna siku tulidoji mabio..tulivyodakwa lile doso tulilopigwa ni hatari baada ya hapo nilijiona nimeiva sana aise
Mbona una info za ndaani sana dogo[emoji1787]wale ambao bdo hamja post mjitahidi sana kozi deadline inakaribia na upembuzi wa documents tayari wameanza.
daah sisi hiyo danger coy ilikuwa na ma o,coplo wawili ni ma CDO wa 92 ,walikua hawapoi usiku had kuna kucha greenvest zipo vichwani hamna kuzivaa.japo na mimi nikakutana nao kwenye kombat karet [emoji16]nlitoboa kwa mbinde sana.D coy tulikula raha sna. wenzetu wnakula madoso cc tushafoleni na kulala mapemaa .
mkuu mm ni mkongwe wa kutuma maombi ama unaweza niita nyani mzeeMbona una info za ndaani sana dogo[emoji1787]
jah ablessi watu wamunguBetween today and next week wale wenye connection kuwasumbua watu wao wale wa Kuomba Mungu waongeze maombi
Mkuu hauna hata connection ya uhakikaSiku za kufunga maombi zinahesabika
Kama wanambanga hamna ugumu.Kuna ambao hawana vyeti vya Jkt lkn wametuma maombi ya Uhamiaji alafu ni wengi tu.