Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Ambaye ameelewa vizuri anielekeze kuna mtu nilimfanya maombi nimeona wametuma huo ujumbe pengine nielewe vizuri zaidi
Screenshot_2022-12-23-12-54-43-64_6012fa4d4ddec268fc5c7112cbb265e7.jpg
 
CCP pale hawataki mchezo kabisa ukiingia kinyemela utarudi kinyemela .
Issue ni nani yupo nyuma yako.Intake iliyopita tarehe rasmi ya kuingia kambini ilikuw oct 23 ila kuna group lilienda kuriport January huko sijui February na most of them hawakuw na jkt 😂😂😂 hukoccp ukizingua tu kidogo unafukuzwa na chap nafasi yako inajazwa
 
Back
Top Bottom