Hahahahaha sina kiongoziMkuu hauna hata connection ya uhakika
Nipe connection bas Mr.Mkuu hauna hata connection ya uhakika
ugumu upo ccp warirudishwa wengi sana sijui kwa uhamiajiKama wanambanga hamna ugumu.
Me Sina bossNipe connection bas Mr.
CCP pale hawataki mchezo kabisa ukiingia kinyemela utarudi kinyemela .ugumu upo ccp warirudishwa wengi sana sijui kwa uhamiaji
Tuombe mungu basi alete kheri πMe Sina boss
noted mkuuUkienda CCP hadi ukamaliza kozi salama unatakiwa umshukuru Mungu Sana kuna watu wengine hawamalizi wanarudishwa home,kule Nidhamu ya hali ya juu inahitajika
moja ushaichukua[emoji1]Uhamiaji mpk sasa zimebaki nafasi 499
Mkuu kuna jiran yangu katumiwa kama wwNimetuma upya
Kuna jiran yangu kaambiwa pia kumbeSijajua wanaangalia nini aisee, mm niliweka cheti cha JKT ila kwenye email yao wanasema sijaweka cheti.
Nimereply waangalie cheti kipo kwenye PDF attached
Inategemea siyo kila Sehem utakuta hivyo,me kikosin kwangu kombi yenye madoso makali ilikuwa ni Danger coy ikifuatwa na Eagle coy
wamejibu kwa email yao polisi? na vp hakujaza kiambatanisho B ?Mwanzon kila kitu kilitumwa fresh
vyeti vitumwe kwenye excel kwa kutumia pdf bdo sijaelewa hpa wakuu??Ambaye ameelewa vizuri anielekeze kuna mtu nilimfanya maombi nimeona wametuma huo ujumbe pengine nielewe vizuri zaidiView attachment 2455665
Aise chief asikuambie mtu kigoma tulikula kozimi nilikua D coy -mafinga operesheni tanzania ya viwanda .kamanda Msangi alitubeba sana. ila C coy walisoteshwa aibu kiasi kwamba walikua wnatamani wahamie kwe
Alijaza pia sema nahisi pengine mfumo wao piawamejibu kwa email yao polisi? na vp hakujaza kiambatanisho B ?
Issue ni nani yupo nyuma yako.Intake iliyopita tarehe rasmi ya kuingia kambini ilikuw oct 23 ila kuna group lilienda kuriport January huko sijui February na most of them hawakuw na jkt πππ hukoccp ukizingua tu kidogo unafukuzwa na chap nafasi yako inajazwaCCP pale hawataki mchezo kabisa ukiingia kinyemela utarudi kinyemela .