Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna mtu hajawahi kutamani kitenge?? hawa maaskari wa umoja wa mataifa nasikia wanakunja parefu kuliko hata maafsa wa Jw ambao hawajaenda kutuliza gasia.

hili jeshi tamu ila sifa kitengo.
1671805910369.jpg
 
Vijana mna morali kama zote......

Sasa wewe nenda polisi halafu uitwe kuimbisha chenja uimbe "Kazi ya jeshi ni ngumu, sio kama polisi... Pushapu kwenye godoro..[emoji441][emoji444][emoji445]....

[emoji3064][emoji3064]Hapo utatuletea mrjesho nini kitakukuta..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikia hii ndio sababu ya kupigwa intro nzito mkifika CCP wanaamin kuwa mliotoka jakata mnawadharau so mnakula kazi ya kuwakaribisha muone 😂😂😂 ila dah course ya polisi ndefu. Dogs langu alikaa zaidi ya miezi 9 aliingia na form 4 baada ya kujitolea na D zake 2.. kaka mtu na degree yangu nahaha saiv😂
 
Nasikia hii ndio sababu ya kupigwa intro nzito mkifika CCP wanaamin kuwa mliotoka jakata mnawadharau so mnakula kazi ya kuwakaribisha muone [emoji23][emoji23][emoji23] ila dah course ya polisi ndefu. Dogs langu alikaa zaidi ya miezi 9 aliingia na form 4 baada ya kujitolea na D zake 2.. kaka mtu na degree yangu nahaha saiv[emoji23]
Baba hata wapige intro ya namna gan scale yake haitazid niliopigw pale 835 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom