Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nasikia hii ndio sababu ya kupigwa intro nzito mkifika CCP wanaamin kuwa mliotoka jakata mnawadharau so mnakula kazi ya kuwakaribisha muone [emoji23][emoji23][emoji23] ila dah course ya polisi ndefu. Dogs langu alikaa zaidi ya miezi 9 aliingia na form 4 baada ya kujitolea na D zake 2.. kaka mtu na degree yangu nahaha saiv[emoji23]
Madogo walokuwa na 4 za 28, 29, na 30 kwa mwaka jana kwao ilikuwa ni kitonga!! Hsikujalisha kimo hadi wafupi walipata shavu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uwoga wako ndio umaskini wako

Nimekumbuka mwanangu alifanya hivi hivi ilikuwa mwezi wa sita 2018 kama sikosei

Alivamia mkubwa naye ...yule mkubwa alicheka [emoji3] dogo anajiamini

Akampambania
Daaah!! Kwhyo mim leo ningemvaa tu majaliwa pale Muhimili[emoji24][emoji24]
 
unakutana na mtu anaitwa hatari wa danger coy,au balumwina a.k.a kipele dadeq 835 stak hata kupasikia hata binadamu hamkutani nao[emoji23]
Wew wew usiseme baba pale sehem hapafai!! Koz wanakaza balaaa! Ikiwa shamba mtakoma shamba dunia kwa Msanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kipele huyu mwmba ana hatar sn anazimisha kuruti wa jeshi [emoji23][emoji23]
 
Leo alikuja muhimbili pale kuchek wagonjwa wodi ya watoto,nlikuw nmejizuka zangu kwny bench la kusubr nawaza km naweza toboa uhamiaji. Mara paap!! Naon harakati za wajomba wanaingia na w2 wamepiga masuti tu wengn Wana makamera kbsa!! Kuangalia vzr namuon mzee baba kawekwa kati! Hlf wanakuja uelekeo wangu, Daaah nlitaman nipige goti na kilio huyu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ungajilipua mzee we si umemuona majawaliwa yuko zake fire sahv anakula shushu aya maisha kujilipua tu hujui nani atakusaidia
 
Back
Top Bottom