Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kama umeomba uhamiaji na umetuma barua kwa posta hesabu maumivu yahn umelipia tsh 1200 kwamba barua zako za kazi zikifika Dodoma uhamiaji wazifate posta wakati kuna serious people zimetuma kwa njia ya EMS tsh 15000 mzigo unafikishwa mpka ofisini.

Barua yako vipande vyake vitageuzwa ticket au bahasha.
we mwamba unavunja watu moyo
 
Deadline ya zima moto ilikuwa tafehe 8 december, wapo mbioni kutoa majina ya interview, huku niliomba ingawa sina vigezo vyotee
IMG_20221124_144442_338.jpg
 
Ungajilipua mzee we si umemuona majawaliwa yuko zake fire sahv anakula shushu aya maisha kujilipua tu hujui nani atakusaidia
me nlishawah kujilipua kwa mtu mkubwa sana ilikua kipindi watu wanaenda kuripoti oljoro but nlimtafuta muda ndo umeisha But kuna wakuu wana roho nzuri za kusaidia ,nilimpigia simu hanijui hakuniuliza nimepata wapi namba ,aliniambia tuu muda mbona umeisha subir wakati mwingine,nlivomuambia ahsante akanijibu "karibu sana". nikawa namtumia message za "shikamoo mimi ndo yule.... pole na kazi" ili asinisahau anajibu ahsante,ila ameshatafu mwez wa 8[emoji16][emoji17]
 
kuna watu alikua nao kwenye system anaweza wacheki mkuu
 
Back
Top Bottom