Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kuna watu kibao mwaka Jana walitoboa bila connection apo Uhamiaji sahiv wanaramba asali
We jifariji tu.........

Kwa kifupi vijana punguzeni miteru ili ukikosa usiumie hizi kazi siku hizi ukiomba uwezekano wa kutoboa ni mdogo sana just imagine 3000 Tanzania nzima toa Zanzibar zilizobaki gawa kila mkoa bado njemba za makambini,hapo toa wanawake toa wazee wa baba kanituma bado na ww unaweza ukawa UNFIT hshahaha so tuishi kama ujatuma maombi....Jina likitoka thanks to allmight God ukipigwa ndoige Au peresu peresu unaendelea na mbanga zingine.

Majina yakitoka niko pale mnistue

Nayeyuka
 
Ulimshati hatari baba, wana msemo wao wanakuambia ukienda jeshini ujue haujaenda bank, ni mtifuano mwanzo mwisho.
Kaz kazi hao wazee noma sn. Nlivotoka kozi yan nikimuona police mtaani namuona wa kawaida sn wala simshtuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Oy wadau hapa kwny nmba ya jkt najaza ipi,maan kuna nmba yangu na namb ilo juu ya gamba.sas ipi hapo? Au nmba ya kikos
 
Back
Top Bottom