Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
idara nyeti ile kutoboa bila connection ujue una mungu wako saanaKuna watu kibao mwaka Jana walitoboa bila connection apo Uhamiaji sahiv wanaramba asali
Mkuu tujifunze kukubali kuupokea ukweliwe mwamba unavunja watu moyo
Hhahahaha pole sana mkuu tsh 1200 na tsh 15000 ebu pima hata ww....nafasi 499 watu wajisumbue kufata barua posta.Hajui tu , wati tunapoteza Amani kabisa, wengine tulikutana na mabwana posta wajuaji wakatukataza kutuma kwa EMS
We jifariji tu.........Kuna watu kibao mwaka Jana walitoboa bila connection apo Uhamiaji sahiv wanaramba asali
Bravo coy ni coy ya makomando.Tukakiwashe Bravo Coy...
Hakuna Coy naipenda kama bravo na huwa ndio coy yenye madoso makali
We bravo coy ya demo ndo maana morali.Bravo coy ni coy ya makomando.
Hata madawili wa hii coy wana sura za kazi..[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kapandishw cheo kumbe kawa luten kanali duuhKanole sio luten canal ni CO 821 KJ bulimbora
HahahaBravo coy ni coy ya makomando.
Hata madawili wa hii coy wana sura za kazi..[emoji28][emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Tpdf mwisho wa matatzo babaWe bravo coy ya demo ndo maana morali.
Ulimshati hatari baba, wana msemo wao wanakuambia ukienda jeshini ujue haujaenda bank, ni mtifuano mwanzo mwisho.Tpdf mwisho wa matatzo baba
Afande wangu huyu bado yupo 821? Atakua hajapanda tu LT Col ilikua 4 years agoKanole sio luten canal ni CO 821 KJ bulimbora
Daaah miaka inakimbia sn,mie enzi yuko 835 Alikuw major,huend amepanda tna yuko kanali now.Afande wangu huyu bado yupo 821? Atakua hajapanda tu LT Col ilikua 4 years ago
Kaz kazi hao wazee noma sn. Nlivotoka kozi yan nikimuona police mtaani namuona wa kawaida sn wala simshtuki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ulimshati hatari baba, wana msemo wao wanakuambia ukienda jeshini ujue haujaenda bank, ni mtifuano mwanzo mwisho.
Man is so humbled Mungu aendelee kumbariki Afande Rashid kanoleDaaah miaka inakimbia sn,mie enzi yuko 835 Alikuw major,huend amepanda tna yuko kanali now.
Yuko peace snMan is so humbled Mungu aendelee kumbariki Afande Rashid kanole
Force noOy wadau hapa kwny nmba ya jkt najaza ipi,maan kuna nmba yangu na namb ilo juu ya gamba.sas ipi hapo? Au nmba ya kikos