mfwende sawadogo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2021
- 2,466
- 5,659
konection sio rahis kupata ,tuwe makini sana natoa tahadhariTusaidie mkuu , tupe mbinu, tupe connection
Yaaauuleee we mama wee yaaulee kanyagaΓ2Yakobolewe
Alela kumanya aweee Γ2Yaaauuleee we mama wee yaaulee kanyagaΓ2
Iyaya we iyayaa we utamu wa jeshi nimeuona weeΓ2
Avandu vandu vavavaa,hahahahahaaa muitikie basi makamanda.
Usaili mliulizwa nn jombaa...nasikia pepa ni moja kwa woteMwaka Jana uhamiaji walinipiga knock out ya round ya mwanzon kabisa
Nakumbuka 1998 nilimvaa mh.peter siyovelwa nikaingia ofisini kwake hanijui simjui pale iringa nikamwambia nataka unisaidie nipate kazi alishangaaa Sana kujiamini nilikokuwa nako.huo ni ushuuda mkuukonection sio rahis kupata ,tuwe makini sana natoa tahadhari
Sahihi mkuuNi kweli kabisa, halafu naona mbanga inakuaga na maana sana watu wakishaitwa Interview
okNakumbuka 1998 nilimvaa mh.peter siyovelwa nikaingia ofisini kwake hanijui simjui pale iringa nikamwambia nataka unisaidie nipate kazi alishangaaa Sana kujiamini nilikokuwa nako.huo ni ushuuda mkuu
Nimejifunza kituNakumbuka 1998 nilimvaa mh.peter siyovelwa nikaingia ofisini kwake hanijui simjui pale iringa nikamwambia nataka unisaidie nipate kazi alishangaaa Sana kujiamini nilikokuwa nako.huo ni ushuuda mkuu
Mjomba tangazo jingine lipo updated, inaonekana mtaa haujakukaanga vizuri.Hili tangazo l;a 2021 leo hili limekuja kufanya nini hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] bonge la chenjaAlela kumanya aweee Γ2
Haiwezekani kuruta kupigwa na raia
Nasikia hii ndio sababu ya kupigwa intro nzito mkifika CCP wanaamin kuwa mliotoka jakata mnawadharau so mnakula kazi ya kuwakaribisha muone πππ ila dah course ya polisi ndefu. Dogs langu alikaa zaidi ya miezi 9 aliingia na form 4 baada ya kujitolea na D zake 2.. kaka mtu na degree yangu nahaha saivπVijana mna morali kama zote......
Sasa wewe nenda polisi halafu uitwe kuimbisha chenja uimbe "Kazi ya jeshi ni ngumu, sio kama polisi... Pushapu kwenye godoro..[emoji441][emoji444][emoji445]....
[emoji3064][emoji3064]Hapo utatuletea mrjesho nini kitakukuta..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo bado fresh,harufu ya boom bado haijatokaMjomba tangazo jingine lipo updated, inaonekana mtaa haujakukaanga vizuri.
Mimi nitamsaka JK siku πππ najua bado Ana influence za kupull stringsNimejifunza kitu
Sio kwl ukishaingia kazini huwezi kumtoa mtu.mtu ameajiriwa na serikali unamtoaje kazini? Kwa sababu zipi? Ukiingia umeingia mkuuIla me naona kama anaweza kukuweka , anaweza kukutoa pia.
Mtu apiganishiwe akizingua kulipa anatupw nje ya kinyang'anyiro easy.
Mwache alete habari za chuo, si ajabu bado yupo chuo, anasubir kuweka fingerprintHuyo bado fresh,harufu ya boom bado haijatoka
Baba hata wapige intro ya namna gan scale yake haitazid niliopigw pale 835 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nasikia hii ndio sababu ya kupigwa intro nzito mkifika CCP wanaamin kuwa mliotoka jakata mnawadharau so mnakula kazi ya kuwakaribisha muone [emoji23][emoji23][emoji23] ila dah course ya polisi ndefu. Dogs langu alikaa zaidi ya miezi 9 aliingia na form 4 baada ya kujitolea na D zake 2.. kaka mtu na degree yangu nahaha saiv[emoji23]