Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Mzee ulishindwa hata kujitetea kwa kukimbia.?

Mimi nilikua sikubali kabisa afande anikamate kizembe kwakweli halafu anipe 'shumbwela' bora anikamate nikiwa najitetea.

Halafu uzuri wa maafande ukiwatoroka wao wenyewe wanakubali show na kujisemea moyoni kua "Yule bwege kaiva"[emoji28].

Mziki upo kwa wale Service Man/Girl [emoji28],ikitokea umemtoroka halafu akakukariri sura aisee shughuli unayo maana utatafutwa kila ndichi[emoji28]..

Halafu pia kuna wale Ma service wenye V moja (Lance kopro) wanakuaga na moto kinoma,Yaani wale jamaa wanajionaga kama wamepiga kozi RTS Kihangaiko,Ikitokea umeingia kwenye kumi nane zake utapigwa doso uchakae..



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wale huwa mavoluntia , nasikia kozi zao huwa ni heavy weight, afu wale mikataba yao huwa mirefu kule jkt, so kutoboa JW kwao huwa vyepesi
 
Sura ya YESU matendo ya shetani, akina Mbaji, soud, Yassin, Nshimba, Caessar halafu kuna yule afande KATUNZI alikua na matusi kichizi yaani domo lake halijawahi vaa chupi[emoji1787][emoji1787]
Huyu SURA YA YESU OP yetu alimtegua kiuno kuruti wa mujibu akapelekwa burombola km adhabu.... A coy walikua wanamjua vizuri[emoji23]....
 
Ubaya ni kwamba jamaa alikuwa ananijua vzr tu,karibia maafande wte kombania wanaipata vzr tu.kna afande mmoja alikuwa ananituma kwa dawili mmoja hivi[emoji1787][emoji1787]
 
835 aliwepo mmoja service man mwny v moj,( koplo usu) Alikuw na shida sn yule jmaa
 
Hvi kirefu cha RTS ni nin wakuu?
 
Mkuu sijatoa tangazo lolote kuwa naweza kusaidia mtu yoyote humu wala sijasema mtu yoyote aniletee chochote humu jukwaani hata huyo tuliyewasiliana ni nje kabisa na hapa kwahiyo ondoa shaka zaidi taarifa ya jeshi la Police iko clear ukiwa na sifa utachaguliwa
NB uko sahihi wasiwasi ndio akili
 
Sura ya YESU matendo ya shetani, akina Mbaji, soud, Yassin, Nshimba, Caessar halafu kuna yule afande KATUNZI alikua na matusi kichizi yaani domo lake halijawahi vaa chupi[emoji1787][emoji1787]
Wote hao nawakumbuka ..kuna mwamba anaitwa afande tozi anatukana vibaya mno
Yule afande mwingine Sura ya yesu matendo ya shetan sura nzuri ila roho yake sijawah iona ngumu mno,aliendaga kozi ya ukomandoo akaumwa akarud kambini
 
Afande Soud anapiga kwata dunia nzima hamna anaemfikia ...kwata makini sana kuna siku nilidoji angani bahati nzuri kwangu alinifuma huku nafanya mazoez ya kwata angani ..kesho yake parade akaniita akanipa uongozi wa kuongoza guard number 3 ..
Mazee sijisifii ila mm nikipiga kwata hadi utatamani ..
Siku ya kuapa niliumwa sana tumbo kwahyo nafas yangu akapewa service man wa kujitolea operesheni kikwete
 
Wote hao nawakumbuka ..kuna mwamba anaitwa afande tozi anatukana vibaya mno
Yule afande mwingine Sura ya yesu matendo ya shetan sura nzuri ila roho yake sijawah iona ngumu mno,aliendaga kozi ya ukomandoo akaumwa akarud kambini
Tozi anamatusi sana na ile sauti yake sasa utacheka vile akitukana utatamani mda wote awapigishe story [emoji3]


Eti msiende porini wenyewe wale warundi bado wana hasira wataf* ra


Kipindi hicho warundi wamefukuzwa kwenye kambi ikawa ya jeshi kwahyo mipapai , mitunda ya kila aina ipo huko porini ukienda inakutana na vijumba yamebaki magome vimebomoka


Nasikia kulikuwa na mtifuano sana kuwaondoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…