Yaani kanidanganya wakati naishi nae, baada ya ukuta walipiga course ya uhamiaji DSM (Miezi minne) then akapangiwa kituo huku tunakoishi akawa yuko plain hana chochote began akapangiwa kitengo cha sheria idarani but Lindo alikuwa anaenda kama Kawa alianza ajira 2020, mwaka huu kamaliza nyota juz kati boma kichaka miba Tanga then unasema kanidanganya
Wakati anaanza salary sababu anadegree ya sheria alianza na 940K before makato kipindi Chao engineering na doctors walianza na Million na kitu degree zingine walianza na laki saba na kitu, sheria na IT walianza na 940K tena walikaa kama miezi miwil salary ikawa haiingii
Huyo mwenye nyota tatu ajira yake ya kwanza ilikuwa 2012 yeye kozi alibahatika alikuta utaratibu wa zamani mwenye degree unaunganishiwa nyota alipgia CCP moshi but salary alianza na ndogo kama laki saba na kitu zaman salary zilikuwa ovyo aliunganishiwa na nyota kozi walipga miezi tisa so hzo zingine zimemkuta kazin.
Sasa niambie uongo n upi ? Na n kipi wakijua wew mkuu.