Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

Kwanini mkuu hawana opportunity ya kukua kitaaluma na kipato au?

Sent using Jamii Forums mobile app
duuh kushinda na wafungwa mzee baba,kota zao hoi hadi pale tu magufuli alivo waonea huruma kajaribu kuwaboreshea, ukiingia chomboni ukitaka kushift kwingine nimtiti kutoka, mfunga ndio mteja wako akitoroka ama kukuibia silaha unalo. kifupi wizara ya mambo ya ndani jeshi la magereza lipo nyuma ukilinganisha na mengine. ndio maana hata kutoboa pasipo connection ni rahisi ,wanangu kibao wapo hukoo
 
Aisee kumbeh!!

Asante kwa kunitoa tongo tongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duuh kushinda na wafungwa mzee baba,kota zao hoi hadi pale tu magufuli alivo waonea huruma kajaribu kuwaboreshea, ukiingia chomboni ukitaka kushift kwingine nimtiti kutoka, mfunga ndio mteja wako akitoroka ama kukuibia silaha unalo. kifupi wizara ya mambo ya ndani jeshi la magereza lipo nyuma ukilinganisha na mengine. ndio maana hata kutoboa pasipo connection ni rahisi ,wanangu kibao wapo hukoo
Usiwe unadanganya watu mkuu, Magereza wamekuwa na nyumba nzuri na Bora kabla hata JPM hajawa President, Kuna nyumba nyingi za majeshi zimejengwa kwa Amri ya Magufuli tuseme nao walionewa huruma?? Japo sikatai kuwa zipo nyumba duni na zinatia huruma

Nimeishi Kotaz Mabatini FFU Mwanza unazijua hizo nyumba kweli?

Nimekaa Polisi Anga Pale Ukonga unazijua nyumba za Pale kuna Full suit za Bati hadi Mbao!!!

Mwisho kabisa Kaka angu wa kwanza kabisa ni Askari Magereza Yupo Hospitali ya jeshi Ukonga

After all sio kila mtu anashinda na Wafungwa japo lazima upewe genge tu hasa unapoanza kazi kuna kazi kama kufungua lindo na ulinzi ni masaa 24 nje na ndani ya Gereza japo baadhi ya lindo ni masaa 8 tu ila kwa siku wanagawa masaa ma4 tu utaingia mara mbili ndani ya masaa 24!!

Rafiki zangu wa3 wameingia huko wakiwa na kidato cha 4 tu wamesoma hadi kufikia Degree na mmoja amemaliza CPA na wote wana vyeo vya SP kwasasa

Issue upelekwe Kambi za kilimo kama mtoto wa Mama kesho unaweza kuacha kazi tena unatoroka tu kama mfungwa!!
 
Mkuu SP ndio cheo gani?

Mkuu achana nae bwana mdogo hajakuwa bado anahadithiwa acha aingie mzigoni ndo ataelewa

UT hakuna kitu my blood brother wote wawil wako huko mmoja ana nyota tatu mwingine ana nyota moja kamaliza course juzi and wote Wana degree za sheria hadi mishahara yao naijua sababu sisi hatufichani tena nakumbuka huyu mwenye nyota moja alijenga ukuta wa melelani wakat yupo Jkt bahati nzuri akapata uhamiaji, JWTZ na kwa wazee wa kaunda yeye akachagua Uhamiaji eti apate unafuuu wa kusoma hadi PHD asjue uhalisia wa mambo ulivo but muda mwingi hadi uaga anasema bora angeenda JWTZ au kwa wazee wa kaunda suti so dogo anaaminishwa na Report ya CAG akajua n wote wanakula mema hayo asjue huenda zimepigwa na mtu mmoja

Nendeni PT Kuna vitengo vingi, and PT wengine wanahamishiwagi hadi idara ya kaunda suti kimya kimya japo wazee wa kaunda nao salary n ya kawaida but Wanaposho nyingi sana hadi unasahau salary
 
mkuu hzi kota za magereza ukonga kajenga nani kama sio jpm??
mm sipendi kubuni ,magereza ndio jeshi lililo sahaulika wizara ya mambo ya ndani nina fact nina evidence ukipinga moja naweka nyingine. sijawahi kubuni info zangu.
 
Mkuu achana nae bwana mdogo hajakuwa bado anahadithiwa acha aingie mzigoni ndo ataelewa

UT hakuna kitu my blood brother wote wawil wako huko mmoja ana nyota tatu mwingine ana nyota moja kamaliza course juzi and wote Wana degree za sheria hadi mishahara yao naijua sababu sisi hatufichani tena nakumbuka huyu mwenye nyota moja alijenga ukuta wa melelani wakat yupo Jkt bahati nzuri akapata uhamiaji, JWTZ na kwa wazee wa kaunda yeye akachagua Uhamiaji eti apate unafuuu wa kusoma hadi PHD asjue uhalisia wa mambo ulivo but muda mwingi hadi uaga anasema bora angeenda JWTZ au kwa wazee wa kaunda suti so dogo anaaminishwa na Report ya CAG akajua n wote wanakula mema hayo asjue huenda zimepigwa na mtu mmoja

Nendeni PT Kuna vitengo vingi, and PT wengine wanahamishiwagi hadi idara ya kaunda suti kimya kimya japo wazee wa kaunda nao salary n ya kawaida but Wanaposho nyingi sana hadi unasahau salary
na ulivo linganisha jwtz na uhamiaji ukweli nikwamba jwtz kimshahara ipo ijuu. but huku wizara ya mambo ya ndani utatumia ubishi tu kuupinga ukweli fazagola wao ni uhamiaji.
 
naenda afsa wangu kitaa cha moto.ila dream yangu iko uhamiaji ni decent and dream job kwangu itanipa fursa nyingi ikiwemo kukua kielimu zaidi na exposure coz vikao vya nchi za nje nikugusa tu hasa wnao dili na national and transnational organized crimes investigation
TOC majeshi yote wana deal nazo.Mkuu kweli una mahaba na UT,sasa kama unapenda hizo ishu ingia PT alafu nenda Interpol.
 
Waambie hao bro zako waache kukudanganya....uyo aliejenga ukuta wa Mirerani na amemaliza course juzi ( unamaanisha waliomaliza tarehe 26 Nov 2022), hiyo nyota moja kapata wapi mkuu?? Au kavalishwa peke yake nyumbani?
mchane mkuu
 
Yaani kanidanganya wakati naishi nae, baada ya ukuta walipiga course ya uhamiaji DSM (Miezi minne) then akapangiwa kituo huku tunakoishi akawa yuko plain hana chochote began akapangiwa kitengo cha sheria idarani but Lindo alikuwa anaenda kama Kawa alianza ajira 2020, mwaka huu kamaliza nyota juz kati boma kichaka miba Tanga then unasema kanidanganya

Wakati anaanza salary sababu anadegree ya sheria alianza na 940K before makato kipindi Chao engineering na doctors walianza na Million na kitu degree zingine walianza na laki saba na kitu, sheria na IT walianza na 940K tena walikaa kama miezi miwil salary ikawa haiingii

Huyo mwenye nyota tatu ajira yake ya kwanza ilikuwa 2012 yeye kozi alibahatika alikuta utaratibu wa zamani mwenye degree unaunganishiwa nyota alipgia CCP moshi but salary alianza na ndogo kama laki saba na kitu zaman salary zilikuwa ovyo aliunganishiwa na nyota kozi walipga miezi tisa so hzo zingine zimemkuta kazin.

Sasa niambie uongo n upi ? Na n kipi wakijua wew mkuu.
 
Back
Top Bottom